AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

Hao wavaa mabwanga nilishaacha kuwasalimia kitambo uwaninuksi mno,hapo unakuta kana mademu kibao[emoji23].
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.

Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.

Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.

Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
Altenatively, PSRS wanatakiwa wakiona changamoto kama hizo waclarify na CHUO husika kwa kuwa hiyo GPA mwanachuo hakujipa na wala mtaala wa hiyo course hakuutunga na kuupitisha yeye. Wasi victimize watu kwa makosa au changamoto za vyuo! Hizo ni Taasisi wakae vikao vya pamoja kati ya PSRS, NACTE, TCU na Vyuo vyote wareslove hizo issues ili wasiwasumbue au kuwaengua candidates kwa makosa au mapungufu ambayo siyo ya kwao. I hope huu ushauri wangu wenye lengo la kujenga utawafikia.
 
Kabisa mkuu. Graduate hatuhusiki.
 
Kuna mzee mmoja Mwembemba hivi wa utumishi miaka 55 hivi sijui ana stress gani, hataki ni jitetee akati nime gharamia. Na sifa zote ni nazo. Mara ohh kwahiyo ni ligi? (Lugha za mtaani). Ondoka hapa! Nika enda muelezea Officer incharge inje. Yeye aka tufuata, kwahiyo kijana hutaki kuridhika? Ligi ume leta huku nje?

Mungu asaidie. Nilitaka akiendelea ni mgonge mangumi. Afu niende Lock up. Yaani nimesoma, nimesafiri niko lodge, nimetumia gharama afu una ni jibu simple tu. Akati ume ni shortlist kati ya rundo la watu 100.
watu wa hivyo dawa yake ni kumloga tu k****** zake
 
Back
Top Bottom