AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

Kwa Incompetency tuliojaza kwenye mifumo hakuna siku tatizo la ajira litaisha, tena tuendako litawazidia kabiss mpaka wenyewe watachanganyikiwa.

Kumaliza tatizoa ajira kunahitaji watumishi wenye weledi na uelewa wa dunia ya sasa inaendaje, kutegemea watu wenye akili fupi kuibadili ali hii ni sawa na kumpa steering trainee AB ndani ya rough sea.
Tena ukiwauliza wanakwambia tatizo la ajira ni la dunia nzima.....simple like that.
 
Mi licha ya kua nimeandika anuani ya utumishi kwenye barua ya kuombea kazi rti nakuja kuambiwa kua nimekosea address na sijaituma utumishi, nilichoka sana na hua naacha anuani untouched since nimeiandika vizuri tu
Mkuu,, Anuani uliandikaje.., jaribu ku-crop na kutuma hapa tuione.. au nitumie PM nilicheck
 
Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA! View attachment 2373521
Kazi zipo na unaweza kuta hata wewe una kibarua ila hauzithamini unaona za serikali ndo ajira tu.
 
majobless tuunde chama cha kisiasa hata kilio chetu kuhusu ajira ,mitaji ,fursa za uwekezaji na usawa katika ufanyaji wa maamuzi kitaifa utakuepo.otherwise ccm wataendelea kutupigisha kwata ya msoto kama tuna laana vile .haloo sio kwa jua la kitaani wazee sielewi
 
Hicho chama kitasajiriwa na nani? Hawa hawa walamba asali?
 
Ifike hatua vijana tuache kulia lia tukubaliane nini kifanyike.. tuendelee kulalamika au tukinukishe?
Majobless inabidi tuwe na marafiki wengi wanajeshi wa vyeo mbalimbali hata vya juu. Siku wakiona watusaidie labda wapindue nchi 😂😂😂 na sisi tupate fursa. Uzuri hata wanajeshi Wanao ndugu zao ambao ni majobless kwa hiyo na wao maumivu wanayasikia.

Huwa nawawazia wadogo zangu ambao wanamaliza primary na secondary kila mwaka wanamaliza 1m. Sijui wakija kumaliza chuo watakuta hali ya ujobless ipo katika kiwango gani? Au ndio vurumai tu 😂😂

Kama hauna connection, Tukutane ajiraportal.
 
Hii nchi watu wamechoka anahitajika mtu mmoja tu mwenye uthubutu kulianzisha
 
Hii nchi watu wamechoka anahitajika mtu mmoja tu mwenye uthubutu kulianzisha
Kwa Tanzania watu wenye uwezo na uthubutu wa kulianzisha ni wanajeshi pekee. Sisi wengine waoga sana. Utaishia kupata kipigo cha mbwa koko. Au hao wanaoanzisha wanalambishwa asali kisha wanapoa 😂😂😂. Yaani angalia watu wa upinzani sasa hivi wote wamelambishwa asali wote wametulia. Hata zito kabwe hajawahi kuongelea tozo 😂😂😂 yuko bize na kulamba asali.

Mfano watu wakiandamana. Wale waanzilishi watakamatwa na wakikomaa wanalambishwa asali kila mtu anapewa 30m anapoa kama vile kigogo alivyolambishwa asali akapoa. Kwisha kabisa 😂
 
Back
Top Bottom