Duuuh pole sana ndugu.. Mungu atakulipiaMm alie nijibu ujinga ni huyo wa kwanza kushoto mwanaume. Mwenye mkanda nje (kadeti mtumba ya kaki-nyeupe) na mkoti.View attachment 2374024
Huyu msaka Asali alifanywaje baada ya kumuadhibu Waziri?Kwa kuwakumbusha, waziri mmoja wa kazi, vijana na Ajira, Bwana Mitemba, (miaka hiyo) alipigwa ofisini kwake na msaka Ajira.
😂😂Ana familia sio fresh kumchoreshaMm alie nijibu ujinga ni huyo wa kwanza kushoto mwanaume. Mwenye mkanda nje (kadeti mtumba ya kaki-nyeupe) na mkoti.View attachment 2374024
Mkuu tulikuwa 3 nafasi 4 za kazi. Ame nikosesha ajira ya serikali kwa ujinga wake.[emoji23][emoji23]Ana familia sio fresh kumchoresha
Huu ujinga wa kuwafumbia macho na kuwalinda wapuuz kama hawa ndio unalicost hili Taifa[emoji23][emoji23]Ana familia sio fresh kumchoresha
Sawa mkuu ila sioni kama fresh hii sehemu Kuna watu kibao ,hapo mambo kumuachia mungu tu atamlipiaHuu ujinga wa kuwafumbia macho na kuwalinda wapuuz kama hawa ndio unalicost hili Taifa
Kwani huyo mhanga WA upuuz WA huyo Mzee Hana familia ?
Aisee ifike mahala watz tuachane na hizi mentality za kikondoo watu wapuuz kama huyo kzee wawajibishwe vikali bila huruma
Hakuna cha kumwachia Mungu ,huyo Mungu anamajukumu mengi Sana .Sawa mkuu ila sioni kama fresh hii sehemu Kuna watu kibao ,hapo mambo kumuachia mungu tu atamlipia
Yaan hapa lazima tufanye kazi ziwe Kwa mkataba ,la sivyo wengi watal8za nakuwa jobless tuu...Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA! View attachment 2373521
Well said.Tatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.
Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.
Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.
Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
Humu tushapiga mijadala ya kuwa Ajira ziwe za mkataba,ubinafsi mbaya sana...Inasikitisha sana, ni bora ata umri wakustaafu upunguzwe kuwe na magap ambayo yanajazwa na vijana hii mtu kukalia siti mpaka uzee,hapana kwakwel.
Yaani hii secretariet ingetakiwa kuwa bize kila.wakati kama kweli tuko seriousInasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA! View attachment 2373521
They Dont care about Time.Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.
Inauma lakini ndio ukweli.Kuna mwaka flani nilikuwa nahangaika na ajira za tamisemi..nikawa mpaka nime wafollow kwenye page yao 😭😭.......kibopa mmoja yuko pale TAMISEMI baada ya kuona nimekuwa kero aliniambia hivi nanukuu "wewe walaumu wazazi wako ambao hawakusoma, kama wangesoma wangekuwa kwenye system na wewe isingekuwa kazi kupata ajira" hakika siku hiyo nilijiona mnyonge sana😢😢😢😢😢
Bila ccm kuondoka madarakani Nchi itazidi kudidimiaImagine enzi za Mwl. kwa kutumia old technology Tanzania ilizalisha matajiri na ikilima mpira;
Tanzania iliweza kuzalisha karatasi,
Tanzania ilizalisha ngozi,
Tanzania ilizalisha nguo (mashuka, vitenge, khanga nk)
Tanzania ilizalisha mbolea za viwandani
Tanzania ilizalisha mafuta ya kula ya pamba na margarine (TANBOND)
leo tuna import toothpicks, cotton buds, miswaki ila waziri anatembelea gari (thamani Sawa na mitambo/machine ya kichakata)
Wizara
Naibu waziri
Karibu mkuu
Naibu Katibu mkuu
Makamishna
Wakurugenzi
Magari wanayotembelea hawa wazeiya tungenunua technology ya kuzalisha ngano na sukari, vijana wetu wangepata ajira na tukapunguza imports na wakati tukikita kuzalisha kwa ajili ya export.
Waziri gani anawaza kimkakati kuongeza productivity kwa kutumia modern technology wizarani kwake?
Kama yupo, mkakati wake unatekelezeka vip??
Huwa nashangaa hata sare za vyama watu wanafuata China badala ya kuhimiza uzalishaji wa ndani ili hata hao wanachama wapate ajira na kupanua tax base in the course.
Nchi hii, tunachangamoto ya namna ya kufikiri kuleta solutions kwa mustakabali wa Taifa letu
Umeusema ukweli. Ndio maana ukiwapinga haya kukutoa roho wako tayari😅😅😅Imagine enzi za Mwl. kwa kutumia old technology Tanzania ilizalisha matajiri na ikilima mpira;
Tanzania iliweza kuzalisha karatasi,
Tanzania ilizalisha ngozi,
Tanzania ilizalisha nguo (mashuka, vitenge, khanga nk)
Tanzania ilizalisha mbolea za viwandani
Tanzania ilizalisha mafuta ya kula ya pamba na margarine (TANBOND)
leo tuna import toothpicks, cotton buds, miswaki ila waziri anatembelea gari (thamani Sawa na mitambo/machine ya kichakata)
Wizara
Naibu waziri
Karibu mkuu
Naibu Katibu mkuu
Makamishna
Wakurugenzi
Magari wanayotembelea hawa wazeiya tungenunua technology ya kuzalisha ngano na sukari, vijana wetu wangepata ajira na tukapunguza imports na wakati tukikita kuzalisha kwa ajili ya export.
Waziri gani anawaza kimkakati kuongeza productivity kwa kutumia modern technology wizarani kwake?
Kama yupo, mkakati wake unatekelezeka vip??
Huwa nashangaa hata sare za vyama watu wanafuata China badala ya kuhimiza uzalishaji wa ndani ili hata hao wanachama wapate ajira na kupanua tax base in the course.
Nchi hii, tunachangamoto ya namna ya kufikiri kuleta solutions kwa mustakabali wa Taifa letu
😅😅😅Mungu ibariki CCM Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika