AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

AIBU: Uhalisia wa ajira nchini

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,155
Reaction score
6,033
Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA!
20221001_104648.jpg
 
Tatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.

Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.

Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.

Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
 
Pale pale ungemnaza makofi iwe fundisho bila kuwa serious tutaonewa san na hakuna pa kwenda kusemeha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mzee mmoja Mwembemba hivi wa utumishi miaka 55 hivi sijui ana stress gani, hataki ni jitetee akati nime gharamia. Na sifa zote ni nazo. Mara ohh kwahiyo ni ligi? (Lugha za mtaani). Ondoka hapa! Nika enda muelezea Officer incharge inje. Yeye aka tufuata, kwahiyo kijana hutaki kuridhika? Ligi ume leta huku nje?

Mungu asaidie. Nilitaka akiendelea ni mgonge mangumi. Afu niende Lock up. Yaani nimesoma, nimesafiri niko lodge, nimetumia gharama afu una ni jibu simple tu. Akati ume ni shortlist kati ya rundo la watu 100.
 
Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA! View attachment 2373521
Watoto wa viongozi wakiendelea kuula , wakiwemo Riziwan , Nape , mtoto wa Pinda , January , huko kwenye taasisi na mabenki , Tra na kwingineko usiseme !
 
Kwa Incompetency tuliojaza kwenye mifumo hakuna siku tatizo la ajira litaisha, tena tuendako litawazidia kabiss mpaka wenyewe watachanganyikiwa.

Kumaliza tatizoa ajira kunahitaji watumishi wenye weledi na uelewa wa dunia ya sasa inaendaje, kutegemea watu wenye akili fupi kuibadili ali hii ni sawa na kumpa steering trainee AB ndani ya rough sea.
 
Tatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.

Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.

Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.

Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
Aisee polesana
 
Imagine enzi za Mwl. kwa kutumia old technology Tanzania ilizalisha matajiri na ikilima mpira;
Tanzania iliweza kuzalisha karatasi,
Tanzania ilizalisha ngozi,
Tanzania ilizalisha nguo (mashuka, vitenge, khanga nk)
Tanzania ilizalisha mbolea za viwandani
Tanzania ilizalisha mafuta ya kula ya pamba na margarine (TANBOND)
leo tuna import toothpicks, cotton buds, miswaki ila waziri anatembelea gari (thamani Sawa na mitambo/machine ya kichakata)
Wizara
Naibu waziri
Karibu mkuu
Naibu Katibu mkuu
Makamishna
Wakurugenzi

Magari wanayotembelea hawa wazeiya tungenunua technology ya kuzalisha ngano na sukari, vijana wetu wangepata ajira na tukapunguza imports na wakati tukikita kuzalisha kwa ajili ya export.

Waziri gani anawaza kimkakati kuongeza productivity kwa kutumia modern technology wizarani kwake?
Kama yupo, mkakati wake unatekelezeka vip??

Huwa nashangaa hata sare za vyama watu wanafuata China badala ya kuhimiza uzalishaji wa ndani ili hata hao wanachama wapate ajira na kupanua tax base in the course.

Nchi hii, tunachangamoto ya namna ya kufikiri kuleta solutions kwa mustakabali wa Taifa letu
 
Kuna mwaka flani nilikuwa nahangaika na ajira za tamisemi..nikawa mpaka nime wafollow kwenye page yao 😭😭.......kibopa mmoja yuko pale TAMISEMI baada ya kuona nimekuwa kero aliniambia hivi nanukuu "wewe walaumu wazazi wako ambao hawakusoma, kama wangesoma wangekuwa kwenye system na wewe isingekuwa kazi kupata ajira" hakika siku hiyo nilijiona mnyonge sana😢😢😢😢😢
 
Back
Top Bottom