Aibu Tupu....

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
:pYani baada ya kuchapwa 5-1 na mafirauni....sasa ivi washihiri wameichapa 2-1...Yani hao washihiri uko uarabuni ndo wanaonekana team iso na uwezo Je wakicheza na Oman au Saud...c watachapwa 6-o....:p:confused:
 
Back
Top Bottom