aibu TBC!

TBC huwa sielewi inaongozwaje yaani ni local sana... hivi hakuna wa kuwafundisha kuendesha Shirika? yaani kama kwenye Taarifa za Habari ni vituko mtangazaji anaganda akisubiri fundi mitambo aweke Picha ya Tukio na likichelewa basi Mtangazaji anaunganisha habari ya mbele bila kuomba radhi... wao huchukulia poa poa tu kama Side mnyamwezi... wamejaa wahuni tu nadhani hawajabobea kwenye mambo ya live walishazoea kurecord Studio kwanza then wanaplay tu wao wanaondoka zao kwenda makwao huku wakumuacha Godiliver Rweyemamu akicheza na mitambo... siku hizi hawawarushi mafundi wao so imekuwa kukomoana tu....
 
kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !

Hahahahahahha nicheke mie
 
Mimi sina jinsi isipokuwa kuingalia tbc maana natumia Dstv. Kuna siku mpaka nimetapika walivyonitia kichefuchefu
 
Hata hiki kidogo walichonacho wamshukuru TIDO MUHANDO ndiye alifanya mabadiriko kutoka TVT hadi TBC.
 
hahahahahahahahha kwa hiyo kwakuwa mafundi mitambo hawarushwi hewani wameamua kuaharibu?
 
kuna jamaa huwa anasema eti anafungua duka siku ya ijumaa. huwa anatangaza habariza za biashara cha ajabu kila cku kitu kinachosikika hakiendani na action ya midomo yake. huwa najiuliza ndio staili ya TBCccm au?
 
kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !

Wewe ni mjinga wa wajinga
 
tbc wanatumia tablet za samsung!! kuwa mchunguzi na samsung wako juu ya apple ryt nw market!! japo tbc bado wanachemsha nakubali
 
Mi naona tablet zao sio, wangetumia piriton tablets angalau wasinzie......
 
Nasikitika mno, Aibu siyo TBC tu bali ni stesheni zote, ziwe za Redio au za TV. Kama siyo kuweka Muziki basi ni tamthilia za ajabu ajabu, hakuna kikubwa cha maana. Kuna vipindi vizuri vingapi vya maana vya kufumbua watu macho na vya kutia watu moyo na kujenga ujasiriamali au kuelimisha ambavyo wangeweza kuviweka?.

Kuanzia Jumatatu hadi Jumatatu TV na Redio zote ni miziki. Mi sichukii miziki lakini ziwe kwa kiasi. Hii ni njama ya kutupumbaza tusahau matatizo au changamoto zetu, siku ziende alafu watawala na wanaofurahia maisha waendelee kufurahia maisha, wewe mtanzania wa kawaida usiyekuwa na mbadala uendelee kuleweshwa na muziki, usahau ya muhimu.

Makala yapo mazuri sana; ya kuelimisha, kutufumbua macho na kututajirisha kama tukitaka. Ehe lakini nani anataka kumwamsha aliyelala?

Pole Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…