Aibu nyingine kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu nyingine kwa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Aug 7, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,743
  Trophy Points: 280
  Why VP didn't make speech
  By Erick Kabendera, Mexico City
  THE CITIZEN

  The International Aids Society said the Tanzania government was responsible for the failure of Vice-President Ali Mohamed Shein to address the opening session of the 17th International Aids Conference.

  The Dr Shein was expected to present a paper on the role of the political leadership in Africa in response to the HIV/Aids pandemic on behalf of President Jakaya Kikwete when the conference opened here.
  According to the communication manager of the International Aids Society, Ms Karen Bennette, organizers of the conference said President Jakaya Kikwete was invited to address the opening ceremony.
  However, she said, State House could not confirm his attendance on time.

  "We received no response from his (the president's) office, and had no choice but to include another speaker," said Ms Bennett.
  When the organizers found out that vice president Shain was attending, Ms Bennett said, it was not possible to include him in the programme since it was too late.

  The vice president's biography was on the list of VIP speakers at the opening ceremony of the conference on Monday but he was not included in the conference programme.

  Among prominent speakers at the ceremony were the Mexican President Felipe Calderon Hinojosa and the United Nations director general Ban Ki-moon, who was attending the first International Aids Conference since being appointed in 2006.

  Other leaders participating in the opening session included Prime Minister Denzil Douglas of St. Kitts and Nevis; former Botswana President Festus Mogae, Spain's first vice president Maria Teresa Fernandez de la Vega; Mexico's secretary of Health Jos ngel Cordova Villalobos; UNAids executive director Peter Piot and World Health Organization director-general Margaret Chan.

  No member of the Tanzania delegation was available to comment on the issue. However, some delegates who were seen on Sunday registering for the conference had hoped that the vice president would have addressed the opening ceremony.

  It is still unknown if the vice president, who was accompanied by the ministers of Health and Social Welfare, Prof David Mwakyusa; Education and Vocational Training, Prof Jumanne Maghembe; Health (Zanzibar) Sultan Mugheiry and deputy minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Ambassador Seif Ali Iddi and some Members of Parliament, attended the opening ceremony. However, contradicting reports from various sources here said Dr Shein arrived in Mexico on Wednesday, three days before the opening ceremony last Sunday.

  Some speakers at the conference and delegates from different countries were heard inquiring at the information centre whether vice president Shein was among VIPs who would have addressed the conference. Dr Shein was expected to leave Mexico today for Havana, Cuba, for a five-day tour to strengthen bilateral relations between that country and Tanzania. The visit is at the invitation of the Cuban government.

  Over 5,000 abstracts, including 103 late breaker abstracts, are expected to be presented at the week-long conference. The abstracts were selected from more than 10,600 submissions.
  Addressing the opening session of the conference, Mr Ki-moon said for the first time fewer people were being infected by HIV and fewer dying.

  Applauding the recent UNAids 2008 Report, he said it shows encouraging progress in preventing HIV in a number of most vulnerable countries.

  Mr Ki-moon attributed the gains to changes in sexual behavior, particularly among young people, and better access to anti-retroviral drugs. The theme of the conference is Universal Access Now".
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Sio aibu.. VP ni mtu wa mikasi tu...:D
   
 3. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kazi kweli kweli

  Hivi tunaelekea wapi
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Aug 7, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  baada ya kupigwa ngwala Uganda sasa ya Mexico...
   
 5. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Gembe

  I would like to hear your comment (s).

  What is Salva Rwe and Luhanjo doing at State House? Is Salva incompetent? Does state house has management system in place?

  Poor we!
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  This one is on Kikwete, the crummy cahoots-driven corruption concomitant coax carte-blanche cajoling coyote.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Crackheads....
   
 8. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Blue -Blistering -Barnacles!!!
   
 9. Kipunguni

  Kipunguni Senior Member

  #9
  Aug 7, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hii imekaa kama ya Mzee Omnipotent, Mzee Punch pale Mlimani enzi zetu ..... nasikia vijana wa pale wameiua Punch kabisa siku hizi .... what a shame!!
   
 10. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Walim-Punch Alhaji ikaja kuwa issue kubwa!
   
 11. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee VP alienda Mexico Ku-talii huyo. Mpaka leo bado tuna viongozi walio Dis-organised kiasi hiki! Hovyo kweli kweli.
   
 12. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Nilitaka kusema hivyo, but I think I have an idea who pundit could possibly be.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Aug 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Nadhani hii ni misunderstanding ndogo tu. Sio aibu kama mnavyotaka tuamini. Kuna mambo mengi zaidi ya aibu yaliyowahi kuwatokea viongozi wa mataifa mbalimbali akiwemo Bush 41 kutapika kwenye hafla ya chakula alichoandaliwa na mfalme/ emperor wa Japan.....
   
 14. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inawezekana ameiaibisha region au Afrika nzima. Ukisoma hii taarifa inaoneka kama Tanzania hapa walikuwa wana kinafasi fulani hivi. Obviously the crummy press hawajasema kwa nini ilibidi Mkuu wa hiyo society atoe statement kujieleza. Alikuwa anajibu lalamiko au inquiry ya nani ? Maana THE CITIZEN wanasema hawana comment za delegates wa Tanzania kuhusu hili swala, in fact wanasema hakuna hata uhakika kama Shein alihudhuria siku ambayo angeongea anyway, japo alifika Mexico City siku tatu kabla ya mkutano. Sasa nani kalalamika ?

  Halafu, tunaambiwa delegates wa nchi nyingine waliulizia kama Tanzania itaongea. Kwa nini ? Tanzania ina nafasi gani katika hii society ? Kwa nini hawakuulizia Rais wa Bukina Faso au Zimbabwe ? Au ukimwi uko Bongo tu ? Yani hakuna kitu utasoma kwenye ile crummy press yetu ukasema ok nimeelewa au kujifunza kitu pale. Mpaka ukafanye ka research tena kwenye google. Well, ukiwa kwenye train huna access au muda wa google!

  We niambie, kwa nini delegates wa nchi nyingine waulizie Tanzania ?
   
 15. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #15
  Aug 7, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Typical, noting new here. Unless you still don't believe when we tell you that the incompetence of this government is beyond comprehension.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Miafrika Ndivyo......
   
 17. t

  think BIG JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu NN,

  napingana na wewe! masuala ya chakula na administration (utawala) ni vitu viwili tofauti!

  Kutapika si suala la aibu, hayo ni maradhi (inawezekana chakula ni kibovu ama ni kigeni kwako) na nadhani wewe unafahamu masuala ya "Sushi" kama ni mgeni lazima kidogo mambo yakuendee vibaya. Umeshawahi kuangalia kipindi cha "Fear factor"? Kama NDIO, nadhani utakubaliana nami, kutapika ni suala la kawaida, na si udhaifu wa akili ama kufikiri.

  Lakini yaliyotokea kwa VP ni poor administration (utawala mbovu, udhaifu wa akili ama kufikiri). Hii mikutano ya kimataifa (ambayo ujumuhisha viongozi wengi wakubwa) inaandaliwa mapema sana, na wajumbe wote hutakiwa kudhibitisha ushiriki wao mapema, sasa ofisi ya VP nadhani walifikiri ni masuala ya "mikasi" (kukata utepe) ama "walipotoka" wakafikiri VP ni mtu muhimu sana kwenye huo mkutano!
   
 18. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...Tulivyo? But we can and should change.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Aug 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Nyie kila kitu tu mnatafuta makosa na kukosoa kihasi. Unasema kutabika kwa mkuu wa nchi si jambo la kuaibisha. Kikwete leo hii akienda Mexico na kwenye hafla wampe Taco ale halafu atapike mbele ya kamera na hilo mtalikosoa tu. Nyie kila kitu mnakosoa tu.
   
 20. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nyani,

  Anachokwambia ThinkBig ni kwamba, kuna mambo yaliyo nje ya uwezo wa binadamu na mengine yako ndani ya uwezo wake.Kuumwa na reaction mbaya kwa chakula ni mambo ambayo unaweza kusoma vitabu vyote na kujitayarisha unavyotaka, lakini ikafika sehemu ya staha kuu na bado ukatapika.

  Ku confirm schedule na kwamba utakwenda kwenye mualiko au la si kitu kilicho nje ya uwezo wa binadamu. Ndiyo maana one can excuse Bush, because that was probably an involuntary reaction, but Kikwete cannot be excused because he had known about this in advance and there is nothing involuntary/ reflex about planning a speech.
   
Loading...