MingoiMkuu Ruta nilipata kusikia fununu kuwa ndoa ya Mbowe inautata kutokana na tabia yake ya ukware.Hapo utaona anazuga mbele za watu kwa kulazimisha denda la picha.
Aha kumbe yale ya Komba yalikuwa ya kweli??? Mlikataa nini?? mbona mlidai ni fotoshopu Nyie intarahamwe uongo kweni ni kama maji ya kunywaHile ya komba haikuwa maisha binafsi?
Mbowe mpaka anataka kumvunja pua mkewe
Mbona povu linakutoka?
Yule aliye enda nae Dubai "kucheza mechi ya mchangani" kwa kutumia pesa za uma akiiona hii picha lazima atakuwa anaumia moyoni.
Baada ya kushindwa propaganda zenu za kumtoa uenyekiti mmeanza kujifariji na photo-shop.Tunapofanya kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere tunakumbuka juhudi zake za kuhamasisha na kuhimiza uadilifu. Uadilifu ambao ni kinga ya maovu yote, uadilifu ambao ni nguzo imara na msingi wa miiko ya viongozi. Hatuwezi kuwa na uongozi bora bila kuwa na viongozi waadilifu.
Chadema ni chama kinachojibebesha taswira ya uadilifu, chama kinachoomba ridhaa kwa watanzania ili kiweze kuaminiwa kukabidhiwa serikali lakini tangu juhudi hizo zisizo na mafanikio kuanza mihongo kadhaa iliyopita bado chadema hakijaweza kufikia lengo lake na kushimdwa huko kunatokana na aina ya viongozi ambao chama hicho wanao.
Mwenyekiti wa chama ambae anapaswa kuwa dira na ndiye anayetakiwa kuset standard ya namna bora ya kufanikisha mipango ya chama anapokosa uadilifu chama hakiwezi kufanikiwa..
sina haja ya kueleza mengi, picha imebeba ujumbe kamili..hakika chadema ni janga la kitaifa.
Maadili yanasemaji hasa ya kijamii?Huyo ni Lilian mkewe mbona Obama anafanya
Ya mwenyekiti wako na mkewe unayajua?!Mbowe mpaka anataka kumvunja pua mkewe
Duuuu Ni aibu, hiyo picha sio ya kuedit bhana sahihi kabisa. Uadilifu ziro aombe Kura km binadamu tu. Binafsi mmmhhhh
huoni family yake hata sura huoni ?tazama mfanano wa surakwani si mke wake wa ndoa au kachepuka?kama kachrpuka ndio huko kukosa maadali ila kama ni mkewe halali nampa tano kwa kudumisha penz kwa mkewe
Tunapofanya kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere tunakumbuka juhudi zake za kuhamasisha na kuhimiza uadilifu. Uadilifu ambao ni kinga ya maovu yote, uadilifu ambao ni nguzo imara na msingi wa miiko ya viongozi. Hatuwezi kuwa na uongozi bora bila kuwa na viongozi waadilifu.
Chadema ni chama kinachojibebesha taswira ya uadilifu, chama kinachoomba ridhaa kwa watanzania ili kiweze kuaminiwa kukabidhiwa serikali lakini tangu juhudi hizo zisizo na mafanikio kuanza mihongo kadhaa iliyopita bado chadema hakijaweza kufikia lengo lake na kushimdwa huko kunatokana na aina ya viongozi ambao chama hicho wanao.
Mwenyekiti wa chama ambae anapaswa kuwa dira na ndiye anayetakiwa kuset standard ya namna bora ya kufanikisha mipango ya chama anapokosa uadilifu chama hakiwezi kufanikiwa..
sina haja ya kueleza mengi, picha imebeba ujumbe kamili..hakika chadema ni janga la kitaifa.
Hile ya komba haikuwa maisha binafsi?
Mtela kua kidogo basi.Hii ni ya mtu binafsi sana na wala haitusaidii watanzania.Ingekuwa vyema ukawwangazia wale wanaotafuna mali ya umma ambao wako kwenye chama chako.
Pole sana huo angekuwa Che Nkapa angesema una wivu wa KIKE.