Hahahaha daaa kama ametisha!Chadema kila kitu ni mabavu mpaka kukiss?
Hahahaha daaa kama ametisha!
Hila Mbowe hakutakiwa kufanya haya mbele za watoto sisi waafrika hatutendi haya mbele za watoto! Kwakweli nani amkemee mbowe kwa huu utovu wa nidhamu?
Sasa mdogo wangu Mtela Mwampamba,hapo kipi cha ajabu? Ingekuwa habari kama wangekuwa wanaume watupu au wanawake watupu. Uwe angalau unafikiri vya kuleta hapa.
Mtela Mwampamba hoja yako ni nini hapa?? Je ni ajabu mtu kumbusu mkewe?? au hukupenda kuonesha upendo wake kwa mkewe mbele ya watoto wake?? Hukutaka watoto waone upendo wa wazazi wao?? Bado sijajua hoja yako ni nini hasa??Tunapofanya kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere tunakumbuka juhudi zake za kuhamasisha na kuhimiza uadilifu. Uadilifu ambao ni kinga ya maovu yote, uadilifu ambao ni nguzo imara na msingi wa miiko ya viongozi. Hatuwezi kuwa na uongozi bora bila kuwa na viongozi waadilifu.
Chadema ni chama kinachojibebesha taswira ya uadilifu, chama kinachoomba ridhaa kwa watanzania ili kiweze kuaminiwa kukabidhiwa serikali lakini tangu juhudi hizo zisizo na mafanikio kuanza mihongo kadhaa iliyopita bado chadema hakijaweza kufikia lengo lake na kushimdwa huko kunatokana na aina ya viongozi ambao chama hicho wanao.
Mwenyekiti wa chama ambae anapaswa kuwa dira na ndiye anayetakiwa kuset standard ya namna bora ya kufanikisha mipango ya chama anapokosa uadilifu chama hakiwezi kufanikiwa..
sina haja ya kueleza mengi, picha imebeba ujumbe kamili..hakika chadema ni janga la kitaifa.
Hile ya komba haikuwa maisha binafsi?
Si mke wake, Kwani uliambiwa ni nyumba ndogo hiyo?
Hahahaha daaa kama ametisha!
Hila Mbowe hakutakiwa kufanya haya mbele za watoto sisi waafrika hatutendi haya mbele za watoto! Kwakweli nani amkemee mbowe kwa huu utovu wa nidhamu?
Ulitaka uliwe wewe Denda ndio uweze kufurahi? .........Mkuu Ruta nilipata kusikia fununu kuwa ndoa ya Mbowe inautata kutokana na tabia yake ya ukware.Hapo utaona anazuga mbele za watu kwa kulazimisha denda la picha.
Aibu mtu kumla Denda Mkewe? Mlitaka ale michepuko?Duuuu Ni aibu, hiyo picha sio ya kuedit bhana sahihi kabisa. Uadilifu ziro aombe Kura km binadamu tu. Binafsi mmmhhhh