Aibu niliyoipata mwenzenu

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu bila salam maana kila nikikumbuka tukio la jana hua nastuka stuka yaani

Hua na tabia ikifika jioni naenda kula dawa(sigara kubwa)maskani then nikitoka hapo napitia msikitini kusali sala ya ishaai(ya saa mbili usiku),sasa jana baada ya kula THC ya kutosha kutoka kwa pusha langu kurumbembe mwenye aka alhaji zimwi nikaenda zangu jide(msikitini) basi ila rakaa ya mwanzo tu akili ikawa haipo kene sala nawaza randomly LAAHAULA si mara nkaanza kuwaza kwa sauti maneno ya ajabu ajabu mara range rover,mara ach usenge yaani vitu vya mawazo yangu yote naviongea tena kwa sauti ndani ya sala..ngoja nile kwanza ntauja kuwaambia kilichotokea
 
Back
Top Bottom