Alikuwa anaongezea mtoto maskio jamani. Muacheniiii.
*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
Mkuu.@Rejao kwani kuna ubaya kuchangia habari hata ikiwa ni ya zamani?unaona jambo zuri huyu mwanamke anayefanya mambo ya uchafu ndani ya Bodaboda?Hii habari ni ya siku nyingi sana. Hata hapa JF ilikuja pia. Nashangaa leo tena imebuka halafu watu wanachangia kana kwamba ni habari mpya!
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya umetumwa wewe na wakuu wako wa kazi?Acha kuropoka kama uliye lewa. Mbona unanisakama mimi na hilo Gazete la Global Publisher? Na wewe Tengeneza Gazete lako tupate habari toka kwako? weweunaonyesha mtu wa usalama nini?Kuna mambo kadhaa ya kujiuliza kabla mwanaume hujaamua kuamini mambo yanayoandikwa kwenye magazeti ya Global Publisher.
1. Ni waandishi wao tu ndio huwa na bahati ya kukumbana na matukio ya fumanizi, mtu mwenye donda baya, mtoto aliyebakwa n.k?
2. Lini limeshawahi kuthibitika jambo mojawapo kati ya yanayoandikwa na magazeti hayo. Kwa mfano, hapa JF mtu m1 anaweza kuripoti tukio la ajali na akapatikana mwingine atakayesema hata yeye ameshuhudia kwa kuwa yupo around na eneo la tukio
3. Nini huwa muendelezo wa hizi habari?
4. Uongo wa wazi wazi: MziziMkavu aliweka uzi unaosomeka 'Vichwa vya habari........leo' gazeti la mbele kabisa lilikuwa SANI na kichwa cha habari ''ALIYENATIANA TEMEKE HUYU HAPA" na kupambwa na picha ya mwanaume akiwa amemlalia mwanamke wamejifunika shuka. Kwa yeyote mwenye ile video clip (youtube) ya Kenya anaweza akabaini kuwa ile picha imekopiwa kwenye ile video ya Kenya na si Temeke.
Mimi binafsi huyatafsiri haya magazeti ya udaku kama majarida ya tudemu tulikoishia form II na wamama wambea wa mtaani. Haiwezekani mtu afumaniwe halafu akubali kupigwa picha na mimi niamini. Mipango ya kuuza magazeti hii
hii dunia imefika mwisho sasa! khaaaa!!!!!!!!!!
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya umetumwa wewe na wakuu wako wa kazi?Acha kuropoka kama uliye lewa. Mbona unanisakama mimi na hilo Gazete la Global Publisher? Na wewe Tengeneza Gazete lako tupate habari toka kwako? weweunaonyesha mtu wa usalama nini?
*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
hivi uko serious au unajichoresha hapa jamvini? unaongea as if ni jambo la kusikitisha na aibu nk but yet unaendelea kutafuta story of the nature na kuziweka regularly. unadhani ukiongea hivyo ndio utaonekana una uchungu zaidi ya wengine.picha za fumanizi
*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
huyo ni changudoa.
Ndio maana watu fulani utaona waifu zao kila siku mimba,fikiri mwenyewe miezi 8 ya kuchezea hot kiboksi manyoya! pata watoto 10!:confused2::confused2::confused2::confused2:
Wanasemaga za wajawazito za moto......mi sijui bana
Khaaa.. hii ndio wanasemaga kuongeza masikio?
Olesaidimu mwanangu hizo ni assumptions zako. Maana kwenye stori hatujaambiwa kuwa mwanamke husika alikuwa katelekezwa au kutotimiziwa mahitaji yake. Hivyo ni mapema kutoa hitimisho la jumla kuwa "sisi" wanaume tuna tabia ya kutowatekelezea wanawake waja wazito. Unaongea as if unawajua wanaume wote. Kama wewe unafanya hivyo hiyo ni shauri na uzembe wako. Hatuwezi kuhalalisha maovu kwa maovu.