Aibu:mke mja mzito akifumwa akila uroda kwenye kibajaji

SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,901
1,250*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
Kinachonisumbua kichwa ni stye iiyotumika na kuweza kukidhi nafasi finyu ya ndani ya Bajaj ukizingatia madam aikuwa mjamzito! Au Bajaj iikuwa ni pick-up design?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,486
2,000
Hii habari ni ya siku nyingi sana. Hata hapa JF ilikuja pia. Nashangaa leo tena imebuka halafu watu wanachangia kana kwamba ni habari mpya!
Mkuu.@Rejao kwani kuna ubaya kuchangia habari hata ikiwa ni ya zamani?unaona jambo zuri huyu mwanamke anayefanya mambo ya uchafu ndani ya Bodaboda?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,486
2,000
Kuna mambo kadhaa ya kujiuliza kabla mwanaume hujaamua kuamini mambo yanayoandikwa kwenye magazeti ya Global Publisher.
1. Ni waandishi wao tu ndio huwa na bahati ya kukumbana na matukio ya fumanizi, mtu mwenye donda baya, mtoto aliyebakwa n.k?
2. Lini limeshawahi kuthibitika jambo mojawapo kati ya yanayoandikwa na magazeti hayo. Kwa mfano, hapa JF mtu m1 anaweza kuripoti tukio la ajali na akapatikana mwingine atakayesema hata yeye ameshuhudia kwa kuwa yupo around na eneo la tukio
3. Nini huwa muendelezo wa hizi habari?
4. Uongo wa wazi wazi: MziziMkavu aliweka uzi unaosomeka 'Vichwa vya habari........leo' gazeti la mbele kabisa lilikuwa SANI na kichwa cha habari ''ALIYENATIANA TEMEKE HUYU HAPA" na kupambwa na picha ya mwanaume akiwa amemlalia mwanamke wamejifunika shuka. Kwa yeyote mwenye ile video clip (youtube) ya Kenya anaweza akabaini kuwa ile picha imekopiwa kwenye ile video ya Kenya na si Temeke.

Mimi binafsi huyatafsiri haya magazeti ya udaku kama majarida ya tudemu tulikoishia form II na wamama wambea wa mtaani. Haiwezekani mtu afumaniwe halafu akubali kupigwa picha na mimi niamini. Mipango ya kuuza magazeti hii
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya umetumwa wewe na wakuu wako wa kazi?Acha kuropoka kama uliye lewa. Mbona unanisakama mimi na hilo Gazete la Global Publisher? Na wewe Tengeneza Gazete lako tupate habari toka kwako? weweunaonyesha mtu wa usalama nini?
 
Last edited by a moderator:

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,123
2,000
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya umetumwa wewe na wakuu wako wa kazi?Acha kuropoka kama uliye lewa. Mbona unanisakama mimi na hilo Gazete la Global Publisher? Na wewe Tengeneza Gazete lako tupate habari toka kwako? weweunaonyesha mtu wa usalama nini?
Mbona hata nikirudia kusoma mara kumi post yangu sioni sehemu niliyokusakama?

Kuhusu magazeti mimi sikusema yasiandikwe lakini tunayo haki na wajibu wa kuhoji yanayoandikwa. Irejee ile thread yako uliyopost vichwa vya habari vya magazeti halafu tazama gazeti la Sani utaona kuna picha pale ya watu waligandiana. Maelezo ni kwamba wale ndio wa Temeke, lakini ni uongo mkuu, ile picha ni yule jamaa wa Kenya ambaye kuna mtu alipost youtube clip hapa hapa JF.

Kwa kifupi hawa waandishi wa udaku ni waongo. Kwa kawaida habari zenye kusisimua kama hizi utakuta imetoka kwenye magazeti angalau mawili lkn wao mbona za kwao wanazipata wao tu? Hivi kweli unaamini occurrence ya matukio ya namna hii ni kubwa kiasi kila wiki wasikose udaku wa kutoa?

Sijui wewe uwezo wa kubaini mambo unaishia wapi, lkn dunia hii ni kubwa, kuna wachungaji huwalipa watu fedha wajifanye wanatembea na magongo halafu baada ya kuombewa wanajifanya wamepona. Sasa kama binadamu kapata uthubutu huo wa kumchezea Mungu, sidhani kama WADAKU wanashindwa kumlipa mtu fedha ajifanye kafumaniwa ili wao wauze gazeti.

Tukio la mtu kufumaniwa halafu atulie tuli apigwe picha mimi siamini kiharakaharaka.
 

Himawari

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
2,491
2,000*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
ALIYEKUWA ANAFANYA NAE NGONO JE? MBONA KWENYE PICHA HAONEKANI?! Au mie nna makengeza??
Au ndio yale yale ya hadithi ya kwenye biblia ya yule mwanamke mzinifu aliyekamatwa na kupelekwa kwa Yesu wakitaka kumpiga mawe....?!!

.......asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe!!
 

sabasita

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
1,506
1,225
huwaga wanalipwa ni habari za kutengeneza hizi watu wauze gazeti , tumbo lenyewe huchelewi kukuta ni matambara tu
 

Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,280
0
picha za fumanizi*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
hivi uko serious au unajichoresha hapa jamvini? unaongea as if ni jambo la kusikitisha na aibu nk but yet unaendelea kutafuta story of the nature na kuziweka regularly. unadhani ukiongea hivyo ndio utaonekana una uchungu zaidi ya wengine.
 

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
587
500
uzinzi ni uzinzi tu awe mja-mzito awe hana, wanawake wanapashwa kujua kwamba tendo hili linastahili staha yake, ndani ya kibajaji. kikibinuka!
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,162
1,250
Olesaidimu mwanangu hizo ni assumptions zako. Maana kwenye stori hatujaambiwa kuwa mwanamke husika alikuwa katelekezwa au kutotimiziwa mahitaji yake. Hivyo ni mapema kutoa hitimisho la jumla kuwa "sisi" wanaume tuna tabia ya kutowatekelezea wanawake waja wazito. Unaongea as if unawajua wanaume wote. Kama wewe unafanya hivyo hiyo ni shauri na uzembe wako. Hatuwezi kuhalalisha maovu kwa maovu.
Mzee wangu heshima yako sanaaa

Najua umeona mengi katika dunia hii ila pia na sisi wadogo tumeona pia........hili jambo huwa ni gumu kulikubali sisi wanaume lakini maadam kuna wadada humu tuombe msaada juu ya hili........kuwa wanapokuwa wajawazito waume zao huwa wanakuwaje?????

Ila Mzee hili sio siri wala jambo jipya.....kama unataka tutaje majina badala ya kusema sisi well and good lakini kama kuna wanaume hata say 100 tu wanasumbua wake zao wakati wa ujauzito then hatuwezi kukwepa collective responsibility ya kuwa ni sisi....wanaume

My concern hapa ni kuwa nimewahi kufanya kazi kwa karibu na kina mama wajawazito kwa almost two years na hili jambo lipo sana tu katika jamii yetu......na wanawake wengi wanateseka sana juu ya hili jambo!!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom