Aibu:mke mja mzito akifumwa akila uroda kwenye kibajaji


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.
 
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Messages
2,508
Points
1,195
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2008
2,508 1,195
huyo kapata iyo mimba kwenye uchangudoa tu, na pengina anamjua baba wa mtoto la sivyo angeshamtoa, sasa kwasababu uchangu upo moyoni anashindwa kujuzuia hata akiwa na mimba anafanya tu. zaidi ya yote, hao jamaa wenye mimba huwa watamu kuliko wasio na mimba, joto linakuwa limeongezeka si unajua?..na dau hapo lazima atakuwa anaongeza bila shaka.......kwa wadada wenye mimba, nambieni ukitembea mtaani na kitambi chako cha mimba, hujawahi kuona watu wanakutongoza?.....wanajua siri yake...
 
N

nyasebwa sm

Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
5
Points
0
N

nyasebwa sm

Member
Joined Nov 10, 2012
5 0
daima mwanadamu akimkosa Mungu anakuwa zaidi ya mnyama anakosa hata aibu ya macho, kila mahali alipo hata kama ni peupe yeye anaona ni kichaka. Watu tumrudie Mungu ili ttupone
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,286
Points
2,000
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,286 2,000
:confused2::confused2::confused2::confused2:

Wanasemaga za wajawazito za moto......mi sijui bana
 
K

kibananhukhu

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
368
Points
195
K

kibananhukhu

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
368 195
*ALIKUWA AKIFANYA NGONO KWENYE BAJAJ
*ANA MIMBA YA MIEZI 8, ALIA KWA KUOMBOLEZA
NI aibu iliyoje? Mke wa mtu ambaye ni mjamzito wa takribani miezi nane, amefumwa laivu akifanya uchafu na njemba ndani ya Bajaj...habari na umbea mtupu.[/QUOTE]

Ambaye hajawahi kufanya na awe wa kwanza kumpiga jiwe!!!!
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Huyo sister anafanya hivyo kwa sababu zake.
1. huenda alikimbiwa na jamaa aliyempachika huo ujauzito so anatanua njia ya uzazi.
2. huenda huyo jamaa aliyempa huo ujauzito ndio dereva bajaji so wanafuraia pamoja.
3. huenda amemiss hayo mambo toka alipokimbiwa na laazizi wake(baba kijacho).
4. huenda hata hio mimba aliipata katika mazingira hayo.
So si lazima kumtupia mawe coz hujui nini sababu.
 

Forum statistics

Threads 1,285,652
Members 494,728
Posts 30,869,508
Top