Aibu kwa CCM...

mi nadhani uwe na roho kama ya Lucifa yule shetani

Ukiwa makini utajua kabisa Nape ni zaidi ya CDM kwa CCM, maana yeye ndio alijifanya anajua staili ya Kujivua gamba sasa gamba alivuki anahoji kwa nini kesi za Ufisadi zinachukua muda mrefu kulizo za uchaguzi. Anazungumza maneno haya makambako kwenye kikao cha wananchi huku akujua mafisadi wote wanasubiri sauti ya Bana Kubwa na yeye anajua akianza kuwapeleka mafisadi na toto ya bana kubwa itahusika maana sasa anakaribia kuupita hata utajiri wa manji.Ila sina hakika kama kweli wale wasomi wa CCM kina Dk Kigoda wapo pamoja na wenzao maana mambo wanayofanya ni ya aibu sana. Sasa yeye hakumbuki hata kula za maoni zilimkataa sasa anabeba dhamira ya nchi uku akijua hata nafasi ya kuruhusiwa kugombea kijimbo alikataliwa. Mzee mafunde sasa ameanza kuzeeka anachoweza kufanya sasa ni kuanza kujifunza kuwa MC maana wakati fulani ana jua sana mipasho ya kuburudisha watu.tena wakifungua kampuni yeye na Livingstone huenda wakawa juu sana
 
yan mm namshanga sana huyu bwana mdogo wenye ccm wenyewe hawana haraka na ccm wanaiangalia jinsi inavyo kufa yeye anajitia kisebi sebi kuitetea ccm ha ha ha nampa pole sana huyu kijana asomi alama za nyakati kabisa eti ccm itatawala milele ndivyo alivyojidanganya hakika Mungu ampe uhai 2015 aione ccm inavyokufa alafu aje afute maneno yake ya kuwa ccm itatawala milele amekuwa Mungu ? Hivi huyu dogo ni mzuma au kachanganyikiwa na likofia lake watu wa karibu na huyu bwana wamshauri asome alama za nyakati mapema,
 
Jana alivyokuwa anazungumza nape alimanusura nivunje tv yangu Bahati nzuri kuna mgeni alikuja nikatoka nje!!
 
Nape anapenda misemo ya itikadi za Kim Il Sung wa Korea Kaskazini,lakini uwanja wa siasa ni Tanzania ya leo.Sitaki kuamini kuwa yote anayosema yalikuwa yanatoka moyoni,au amekalili bila kuelewa.
 
Toeni hoja si matusi. Ukitaka mziki uwe mtamu changanya sauti. Do re mi ... Lazima kutofautiana kimawazo, kimtazamo na kifikra. Mabaliko ya kweli yatapatikana. Not yes kwa kila jambo.
 
ili uipende ccm unatakiwa uwe na akili ya 'maiti'
ukisema akili ya "maiti" unawakuza, ni lazima uwe na akili ya "mzoga"
 
Wameamua kuwachukua Mwakyembe na Magufuli eti kwakuwa wao ndo wanakubalika na watu, it's fine kwao lakini wanawapa mzigo ambao hawastahili kamwe.
 
kwa nafasi yake huyu jamaa (nape) ingekua ni fursa kwake ajaribu kurudisha imani ya watz dhidi ya ccm hasa vijana kwa kuwa mhalisia kwa kuendana na mabadiliko ya kisiasa napata shida juu ya uwezo wake na nafasi aliyopewa na hii ni kutokana na kile anachokihubiri kwenye majukwaa kila siku, either si mwanasiasa makini au hasomi alama za nyakati,ccm ya leo si ya kutawala milele ni yeye aliyetaka kuikimbia japo anakataa na leo anasema yuko radhi abaki peke yake ndani ya chama si kujidanganya huku na atakuwa na mchango mkubwa sana kukiua chama
 

Sikutegemea kama mawazo finyu kama haya yanaweza kutoka kwako. Kwani siku ya jumamosi , ndio siku cdm wanaruhusiwa tu kufanya mikutano ? kuhusu kurushwa na ITV hiyo ni haki yao kwani ITV wanafanya biashara, na CCM wameenda zaidi ya hapo kwa TBC, Clouds fm na Star tv wote watarusha, jeuri hiyo cdm mnayo ? hata hizo sadaka zenu mchangishane kiasi gani hamuwezi kurusha kwa zaidi ya tv station moja. Nyie mli beep , wenzenu wanapiga, sasa mnaweweseka kuanzia asubuhi humu mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…