Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

Hembu tukumbushe walifanya nini baada ya hayo majina kutupiwa humu manake uhamiaji tumeona barua ya katibu mkuu kusitisha ajira je BOT?
 
Actually kiukweli ndugu wa wale wa ajira za BOT ni untouchables so hatuna ujanja .., ila kwa hawa wengine wengine huku wanahimilika kabisa! hakuna sababu ya kuwaacha hata kidogo.., watolewe uvivu tu.., tena idara zote. Otherwise hii nchi tutaendelea kudumaa tu..
 
Kwa wale wenye majina mengine kutoka idara mbali mbali watupie humu.., yaani unaweka surname ya alieajiriwa na yule ndugu aliefanikisha kupata ajira.., hii operesheni ni muhimu sana.., naskia BOT yalishatupiwa humu..!

Mitandao ya kijamii ikitumika vizuri huwa inaleta manufaa mengi. moja wapo ni kama hili la uhamiaji.
Umetoa wazo zuri sana mdau. big up.
 
Kwa wale wenye majina mengine kutoka idara mbali mbali watupie humu.., yaani unaweka surname ya alieajiriwa na yule ndugu aliefanikisha kupata ajira.., hii operesheni ni muhimu sana.., naskia BOT yalishatupiwa humu..!

Unataka kusemaje? Kwamba baba yako au ndugu yako wa ukoo akiajiriwa sehemu au idara fulani wewe unapoteza sifa ya kupata kazi hapo?
Tatizo lipo ktk mtazamo wa sisi wenyewe wewe kama afisa muajiri ukisikia tu Janeth Pinda unaanza kujichekesha na kumpa ajira hata kama wapo waliomzidi sifa,
 
Kwa wale wenye majina mengine kutoka idara mbali mbali watupie humu.., yaani unaweka surname ya alieajiriwa na yule ndugu aliefanikisha kupata ajira.., hii operesheni ni muhimu sana.., naskia BOT yalishatupiwa humu..!
Kwakweli nimefurahi sana kuona at least hatua hiyo imechukuliwa!
Kwa kweli nilikasirika sana kuona mtoto wa asiye nacho ananyang'anywa hata kile kidogo alicho nacho kwa kugharamia application, usafiri, malazi na mengineyo kwa ajira ambayo wenyenacho tayari walishakumbatia kwa ajili ya vilaza wao!
 
DA DON why untouchable
Actually kiukweli ndugu wa wale wa ajira za BOT ni untouchables so hatuna ujanja .., ila kwa hawa wengine wengine huku wanahimilika kabisa! hakuna sababu ya kuwaacha hata kidogo.., watolewe uvivu tu.., tena idara zote. Otherwise hii nchi tutaendelea kudumaa tu..
 
DA DON why untouchable
We fikiria tu mwenyewe.., mtu ambaye jina lake linaishia na 'mamndemla' sijui.., anaweza akawa ligi moja na mtu ambaye jina lake linaishia na 'Kigoda', au 'Lowassa', au 'Mwinyi', au 'Meghi'..., actually inabidi tukubali hali halisi for now mpaka pale mageuzi tutakapoyafanya 2015..
 
great words comrade....
 
Ulivyomtia huyo mandemla ni kama unamjua isee huyu jamaa sasa ivi yupo mamtumbo huko ni afisa uhamiaji nadhani anamrothisha mtt wake kwa dar
We fikiria tu mwenyewe.., mtu ambaye jina lake linaishia na 'mamndemla' sijui.., anaweza akawa ligi moja na mtu ambaye jina lake linaishia na 'Kigoda', au 'Lowassa', au 'Mwinyi', au 'Meghi'..., actually inabidi tukubali hali halisi for now mpaka pale mageuzi tutakapoyafanya 2015..
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. What can you do zaidi ya kuchangia thread humu JF.

Waandishi makanjanja hata wakiandika, magazeti yatafungia kashata na nwisho na basi.

EMT si bora mie ninayemuachia Mungu, maana siwazii tena na mzigo wangu (uchungu inclusive) nimemuachia mwenye nira laini.

umesikia kuwa katibu mkuu kasitisha hizo ajira?
 
Last edited by a moderator:
Hivi watoto hao kama wana sifa hawaruhusiwa kuomba nafasi hiyo kwa sababu Baba, Mama, shangazi, Mjomba anafanya kazi au ni mtumishi wa Idara ya Uhamiaji??????????????????????

ImageUploadedByJamiiForums1406554592.746258.jpg
Chukua hii mkuu; haya sasa nani ana akili
 
Back
Top Bottom