Hapo shida ni nini?
1. Utofauti wa umri
2. Kushikana kimahaba mbele ya kadamnasi
Mleta mada naona kama yote umeona ni kero lakini binafsi naona kwa habari ya umri hakuna shida yoyote...iweje mwanaume akiwa mkubwa ni sawa lakini si kwa mwanamke???
mimi sikuwepo hapo posta meru,..ila nilimuona sehemu ingine,na kwasababu alikuwa gumzo na namfahamu haikuwa shida...need more expla..?
kwaio unaona fresh mtu kuuza utu wake kisa matatizo au ili kuendesha maisha? umasikini bwana..ndo mana wazungu wanasemaga TIA..This Is Africa..there is no true love in Africa...nafikiri kama angekua ni mwanao au mdogo wako ungekua na msimamo tofauti..hapo..ova...Hii ndo tz bwana.Sasa hapo ulichoshangaa ni kipi???Mi naona bonge la dili.Yaani huyo kijana ana akili sana.Mi mmoja nlimshuhudia ponara indiraghandi street ananunuliwa bonge la mcheni white gold na wa haja na bonge la kidani mama zikamtoka kama dola 1000 mi kuzihesabu sana nomaMi na yule mkaka tukapeana ishara tukacheka ... Hao wakaondoka zao.Baada ya kijana kuchagua.Hio ndo inavyotakiwa siyo apoteze nguvu zake za bure.We unamshangaa mwenzako anaendesha familia anategemewa.Ha ha shikamoo mamayeyoo