Aibu kubwa kwa CHADEMA

Aibu kubwa kwa CHADEMA

WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Kaaz kweli kweli
 
Dar es salaam ni jiji chafu la 12 Duniani...jiji linanuka...tabu ya usafiri...nyumba duni za ku-assume tu....madampo kila kona...poor hygiene....mitaa ya hovyo....maisha ya kuunga unga....mateja kibao....n.k...
Ni vigumu watu hawa kuwakusanya pamoja kutokana na kadhia hizo hapo juu....mie mwenyewe nipo dar ila nafuatilia hapa JF!

Ni kweli kabisa ni vigumu sana kunegotiate your way kwenda kwenye mikutano Dar, kuna karaha sana. Ila wengi Dar wanaipenda CDM na wameamua kwa dhati kuiondoa akili iliyosababisha umasikini uliokithiri kwenye taifa lenye massive natural endowments.
 
Kesho by saa nane kamili mchana mtajua nini maana kamili ya neno 'aibu'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Ulioko shambani unakuwasha nini?! Kilichokufanya utoe macho na kushangaa yasiyokuhusu si ndo mambo ya dada wenzako wa Lumumba hayo!? Kuwa mwanamme kamili. Thibitisha kwa picha na si udaku na miwasho isiyokuhusu mpaka uchane nguo! Wacha hoja nyepesi eti CDM itakufa kwa mkutano mdogo km huo! Tambua kuwa CDM ipo miyoyoni mwa watu na si kwenye wingi wa mahudhurio. Kwasasa kama chama kimeshajiimarisha kwa kiwango kikubwa sana. Tunasubiri uboreshwaji wa daftari la mpiga kura ili ulimwengu usimame kwa masaa kadhaa 2015.. Porojo zako peleka kwa Savimbi
 
ulitaka watu wangapi? chadema inataka watu makini c wajinga wengi wa kudanganyika, tunataka watu makini kujadili mambo makini kwa maendeleo ya wengi masikini na matajiri. mwisho wa kunukuu
 
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Inatuhusu nini sisi?
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Mimba changa inakusumbua wewe
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

CHADEMA na Machangudoa ni mbali mbali kwa hiyo kama hasira za kukataliwa nao unazitoa hapa nakuhurumia hebu endelea huko huko wanaweza kukuteua Katibu Tarafa.
 
Duh! CHADEMA wanaangaika, wanadhani kila mtu ana muda?

Umesikia kuwa DVR zimefungwa AR. Kaokoe jahazi namna ya kuzifanya zisinase ile mambo yenu. We komaa tu hapa kwenye keyboard halafu badae usiseme wanatoa matamko na uongo. Peleka jicho site.
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Utafikiri ulikuwa moyoni mwangu. Sina la kuongezea.
 
Wachaga wengi manzese hawajakujja kwenye mkutano maduka hawa kufunga kabisa, lazima kiitishwe kikao kuwajadili wale ambao hawa kufika wanarudisha nyuma harakati za Kabila letu kuongoza nchi.
 
Umesikia kuwa DVR zimefungwa AR. Kaokoe jahazi namna ya kuzifanya zisinase ile mambo yenu. We komaa tu hapa kwenye keyboard halafu badae usiseme wanatoa matamko na uongo. Peleka jicho site.

Mitambo hiyo hiyo imenasa ccm wakigawa kombat za chadema kwa green guards wa ccm nyumbani kwa mgombea udiwani wa ccm Elerai.

Chezea chadema uone!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tatizo dar joto sana watu hawawezi kunywa viroba kama moshi na arusha ndo mana mahudhurio machache
 
sio situ niko manzese muda huu ni aibu nitatupia picha mjionee chadema imeaibika duu
idadi siyo issue ni ukombozi tu ! Kumbuka kuwa kwenye watu wachache hao ndiko Maryrose amejiunga na jeshi la ukombozi leo
 
Back
Top Bottom