SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,973
- 75,054
Mnapambana kwa hoja? hoja gani? kutukana watu na kupeleka umbea ndio hoja?
Wewe tatizo lako haufatilii mikutano ya CDM, unadhani ukiwa kwenye laptop utajua yanayo endelea huku field?
Bi Hamida hepu tuwekee ushahidi wa picha kwa vile wewe ulihudhuria