Aibu kubwa kwa CHADEMA

Aibu kubwa kwa CHADEMA

WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili
ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana
hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo,
lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo
mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Mmmmmmmmhhhhhhhh!
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Hapa ni Mbeya,kwa hiyo hawa nao ni Wachaga? Mbona CCM mnawachukia sana wachaga? Mzee Mengi na wenzako mnaona jinsi mnavyochukiwa na CCM nanyi kila siku kuichangia?
ImageUploadedByJamiiForums1373724901.304434.jpg
 
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.
wapeni zile mbinu zenu za kukusanya watu huenda wakajaza angalau kidogo
 
Miss unawadia skins mnyika msigwa,wenje,kiwis,lens na the Mdees lazima watuachie majimbo yetu
 
Muda unawadia akina mnyika msigwa,wenje,kiwis,lema na the Mdees lazima watuachie majimbo yetu
 
Dar es salaam ni jiji chafu la 12 Duniani...jiji linanuka...tabu ya usafiri...nyumba duni za ku-assume tu....madampo kila kona...poor hygiene....mitaa ya hovyo....maisha ya kuunga unga....mateja kibao....n.k...
Ni vigumu watu hawa kuwakusanya pamoja kutokana na kadhia hizo hapo juu....mie mwenyewe nipo dar ila nafuatilia hapa JF!
 
siku zote mabadiliko huletwa na wachache....usihofie sana, wingi wa watu siyo jibu la kukubalika au la
CDM hawajawahi kufadhaika kwa uchache wa watu mikutanoni, ndiyo changamoto za kisiasa, ....sijui
kwanini iwe "AIBU KUBWA" ... hatushindani kwa idadi za watu mikutanoni tunapambana kwa hoja tuwaachia watanzania
waamue wenzetu nyie ... mna wakurugenzi wa miji na halmashauri ambao ndio wasimamizi wa chaguzi zote na hawa wanateuliwa na Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Rais kutoka CCM, .... mnatakiwa kusemewa tu mmeshinda na inakua hivyo lakini wataka mabadiliko hawachoki kushiriki nanyi katika upendeleo wenu huo wa wazi wazi ..."MPAKA KIELEWEKE"

Kamanda vp kuhusu mikutano ya Arusha mlitupia sana pic. Leo vipi?
 
Inabidi tubadilishe mitazamo, hii mikutano ya vyama si kwa ajili ya wanachama au washabiki wa chama kilichoandaa mkutano bali ni kwa watanzania wote maana utajuaje mabaya au mazuri ya chama flani bila kuhudhuria mikutano yao, na ndio maana tumefika hapa chama flani kikiandaa mkutano wake waliojaa ni wafuasi wake tu

Hii inatokana na chuki zinazopandikizwa na viongozi wa vyama vya siasa. Tanzania itazidi kupotea lazima wanasiasa wabadlike.
 
Mkuu mwaga picha hapa maana naona Tumain Makene amekataa kabisa kuweka picha kwenye thread yake ingawa juhudi kubwa tumeitumia ya kudai picha ila juhudi zetu hazijazaa matunda.

Teh teh teh, CHADEMA yaanza kuchokwa.

Leo hakuna motivation ya viroba. Makamanda hawarespond kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Pengine watu wameenda kuitizama Taifa Stars Uzalendo kwanza
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Akili zako sawa na umbwa aliyezeeka akiona hata kivuri hubweka,kaeni na upumbavu wenu mkiamini mko sawa kumbe hamna tofauti na mtu aliye uchi,umbwa koko ninyi.
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Radhia Sweety, wewe ni katika wale wanawake wanaochelewesha maendeleo hapa TZ kwa kudanganyika kwa kanga na T-shirt za CCM. Bado umegubikwa na giza la CCM. Amka dada, kumekucha chagua CHADEMA!! CCM imeshazeeka. Watanzania tutatumia kigezo cha miaka 50 walichotawala kuwachinjia baharini ifikapo 2015. Hawana jipya. Tunahitaji watu wapya, wenye mawazo mapya watuongezee nchi hii 2015. CCM waangalie yaliyokea Libya na Misri. Chama kikichokwa ina maana kimechokwa period.
 
malay......mpuuzi tarehe zimefika?
Mliberali yaani mpaka leo hujabadili jina? huyo Radhia anakuudhi nini kila siku wewe kumtukana au una undugu na mods
Mm naona hata ------- nao wana tarehe zao
hili Jukwaa sio lenu wenyewe maana mnaendekeza matusi hasa Radhia Sweety anapochangia against CHADEMA hivi mlitakaje mtu asiikosoe ili jukwaa hili mbaki wenyewe
HEBU MUWE WASTAARABU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom