Aibu kubwa kwa CHADEMA

Aibu kubwa kwa CHADEMA

Haka kathread utawakuta akina zomba,rz,hammy d,g'wamapalala and pro-magamba wengne. Hawawezi wakasogelea thread inayoupdate kinachotokea arusha. Magamba wamepigwa bao la bata mpaka sasa hvi savimbi ameshatafta pa kutokea. Nyie endeleeni na kathread haka
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu

kwakuambi nani cdm haina mvuto dar subir 2015 ndo utaju ina mvuto au aina kitu kama ujui bora kaa kimya manake uta chekwa ww
 
kweli ujinga ni mzigo,mleta mada anaweza sema cku moja ili tupime uchumi wetu lazima tuwaulize kina MENGI,BAHALESA,MANJI,GACHUMA wana shilingi ngapi,lkn uchui haupimwi kwa mwananchi mwenye pesa wala mijini,bali kwa mafukala masikini,hasa wa vijijini,na ndio kipimo cha chama makini hakiendi kuelimisha wale walio elewa bali wachache wanaotaka kuelewa,hata YESU hakuja kwa watu wema bali wenye dhambi,naamini umenielewa
 
nachofurahi ni kwamba nasubiri unabii utimie muda ukifika,halafu nipigie mstari!
'mapinduzi makubwa yanaenda kutokea,stay tuned!!'
So ccm fanyeni mbinu zenu zote chafu ila Mark My Word, 'lijalo kubwa kuliko lililoisha!'...
 
we mwongo umepita saa ngapi? sema umehudhuria mkutano huo, sio jambo la ajabu. nawe pia unaruhusiwa. mikutano yote huanza na watu wachache. hamuwezi wote mkafika kwa wakati mmoja, labda muwe mlikuwa mmeandamana. lakini, unauthibitisho gani kuwa CDM walitumia juhudi kubwa kuutangaza huo mkutano? basi wewe nahisi ni CDM ila hapa unataka KULETA LIGI TU, Hongera kwa kuwa mfuasi wa CDM. pia ukumbuke kuwa kama wewe siyo mfuasi wa chadema, kule kuitajataja tu kwenye forum kama hzi ni sawa na kuitangaza, maana unavuta hisia za watu wengine kutaka kujua kinachozungumzwa. ahsante kwa kututangaza bila wewe kujua.
 
Back
Top Bottom