Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.
Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana.
ww ni me au ke?
najitolea mimi mleta mada ajeBao 4 imekua chakula?? Mbili za mkwezi zafaa kwa afya
Acheni majungu nyie, kila mtu ana uwezo wake katika hili tendo hivyo huwezi kumlazimisha kupiga bao 4 au zaidi lile tendo siyo adhabu ni furaha ikigeuka kuwa adhabu mimi naona is unfair kama na wewe mdada hulidhiki basi olewa na wa kiwango chako ili isiwe taabu. mimi najua kuna wadada wanataka moja tu ikizidi sana mawili lakini wapo wanaotaka manne na kuendelea wapo wengine mawili tu anapepea na feni sasa nyie mnao lalamikiwa washaurini wafanye uchunguzi wa kina before married sio anakimbilia sifa ya kuitwa mke wa mtu kumbe kuna mambo hayako sawa upande wa pili!
Binafsi tendo lile kwangu sio adhabu nafanya kadri mwili unavyo hitaji na mwenzangu anapaswa kuwa huru kwangu sio kuleta majungu kwa wavimba macho!
Hao wanawake wa wapi wanaoshindwa kuzungumza na wenza wao ili waridhishwe badala yake wanaenda kulalamika nje..???
Kama huridhishwi tafuta namna njema ya kuongea na mumeo....!!
You are wise, just wishing ingekuwa na mwanamke mwenye wisdom kama yako
najitolea mimi mleta mada aje
KAMA AJA R.I.P
4????? atatoa povu kama bia iliyo expire
loooh fumanizi
najitolea mimi mleta mada aje
kama aja r.i.p
4????? Atatoa povu kama bia iliyo expire
ishu sio bao 4,ishu hizo nne ndan ya muda gani?anae piga moja kwa dk 40 na anaepiga bao 4 kwa nusu saa yupi anatisha?nafikir ishu sio idadi bali ni ujuzi na ufundi!
nahisi ww ndo humridhishi wako coz jinsi ulivyogeneralize ni wanaume wote! Sasa wao kama wanaume hawawaridhishi wamefahamu vp hawardhishwi? Kama kuna baadhi wanawaridhisha its simple to compare otherwise sema aibu ya baadhi ya wanaume na c wanaume wote
bao 4 ndio wanaanza kujisikia vizuri..........
wengine ndio huwa hoi hapo
maana mnaweza kwenda raundi 10 na hakuna lolote
najitolea mimi mleta mada aje
KAMA AJA R.I.P
4????? atatoa povu kama bia iliyo expire