Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,872
- 33,292
tena iko shambaPili pili usiyoila inakuwashia nini Babu
tena iko shambaPili pili usiyoila inakuwashia nini Babu
Acha wivu, mchango ule wa matibabu ndio unakutoa kamasi🤔Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)
Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?
Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule Lumumba si mwenyekiti wa CCM Taifa wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Ya chadema waachie chadema fisinyieKwani CHADEMA hakina fedha za chama kumgharamikia matibabu mpaka wachangishe?
Sasa ukileta upumbavu unategemea wakufanyeje si watakutukana tu hata bila hiyo katiba mpya.Hiyo katiba mpya mnaitaka ili mpate uhuru wa kutukana mitandaoni?
Kwa hiyo!! Alijipendekeza?CHADEMA walienda kumuona Prof. baada ya katibu mkuu wa CCM kwenda
Mtu akitukana mtandaoni kuna sheria ya kumwajibisha. Mtu anaweza kutoa maoni usiyoyapenda ukasema ametukana. Acha sheria ndiyo imhukumu usimnyime uhuru wa kutoa maoniHiyo katiba mpya mnaitaka ili mpate uhuru wa kutukana mitandaoni?