Ahukumiwa jela miezi nane kwa kumbaka ng'ombe

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,925
14,431
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 amehukumiwa kifungo cha miezi nane gerezani na Mahakama ya Mji wa Kapenguria, Jimbo la Pokot Magharibi nchini Kenya kwa kosa la kumuingilia ng’ombe.

Mtuhumiwa huyo aliyejulikana kwa jina la John Pkemei aliripotiwa kutenda kosa hilo mnamo Oktoba 19, 2019 katika eneo la Kaibos lililopo katika Kaunti hiyo.

Imeelezwa kuwa siku ya tukio ilikuwa ni katika mashindano ya soka ambapo akiwa katika hali ya ulevi, alikuwa akitembea kabla ya mchezo kuanza alikutana na kundi la ng’ombe wakiwa malishoni ndipo alimvamia mmoja wa ng’ombe hao na kumuingilia.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo aliieleza mahakama kuwa alimuona mtuhumiwa akifanya tukio hilo na kwenda kuwataarifu watazamaji waliokuwa wakisubiri mechi, walipokwenda walimkuta mtu huyo akiendelea na kitendo chake ndipo walimkamata na kuanza kumpiga.

Polisi walikuja kumuokoa na kumpeleka kituoni na kusubiri ripoti ya daktari wa wanyama na baadaye alifunguliwa mashtaka.

Hakimu wa Mahakama ya Kapenguria, Godfrey Okwengu amesema kuwa uchunguzi uliofanyika umethibitisha mmtuhumiwa kuhusika na tukio hilo na alidhamiria kulitenda, hivyo hukumu aliyopewa ni sahihi.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ratio ya me kwa ke hazilingani. Wamamahasa wa kikristo wanatamani sheria zibadilishwe angalau mme aoe wanawake 3- 4. Ukijaribu kuwa karibu nao kupiga story especially wale waliokwisha pitiliza muda wa kuolewa, wanakili kuwa hali si hali, inapita wiki hata mwanaume wa kukusifia kuwa umependeza, haonekani kwasababu wamama waliobahatika kuolewa wanachunga sana waume zao wasiwe karibu na wamama wanaosaka haya salaam tu. Sasa huyu kaka mpaka anatamani mnyama inakuwaje??! au naye ni mnyama kama wao?Jambo la aibu kwelikweli, yafaa aje Tanzania apelekwe Moshi ili ahudhurie ibada ya kukanyaga mafuta.
 
Sishangai maana kenya wanatuzidi hata kimaambukizi naona wameamua kuhamishia kwa ng'ombe sasa.. wakihamia kwa popo tujuzane maana litakalo kuja hapo sio corona tu bali corona plus HIV au GONO au corona plus KASWENDE😎
 
😆😆😆😆😆😆😆😆 nimecheka sana

wanawake wote waliojaa dunia nzima hii lakini bado akaamua kumalizia haja zake kwa mnyama 😞
 
Back
Top Bottom