mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,883
Miezi kadhaa nimewahi kuleta post hapa JF,
Kuhusiana na tatizo sugu la upatikanaji wa maji ktk eneo la LUGURUNI. Hatimae Jana wanainchi waliamua kuandamana hadi kwenye ofisi za mkuu wa wilaya Ubungo kutoa ya Moyoni. Baada ya maandamano yaliyodumu Kwa saa kadhaa.
Hatimae usiku wa leo DAWASA LUGURUNI, wameamua kuachia maji Kwa wananchi baada ya miezi kadhaa kukosekana.
Pamoja na wananchi kupatiwa maji leo, Lakini bado wananchi tumepatwa na mshangao, kwamba haya maji yaliyofunguliwa leo usiku.
--DAWASA wameyatoa wapi?
Maana ilikuwa Kila engineer akiulizwa sababu za kutopata maji mnasingizia pump haipandishi maji Mlimani,
--Je haya maji yanayotoka leo tena Kwa presha kubwa hadi kujaza reserve tanks za juu tena bila kutumia pump , Maji yanapandaje kwenye matank?
Hivi kumbe ni kweli kwamba haki haipatikani hadi wanainchi waandamane?
DAWASA LUGURUNI KIBAMBA mmejivua nguo Kwa hili.
SHAME ON YOU.
Hivi kweli muweke wanainchi miezi 3 bila kutupatia maji ya bomba? Wakati maji mnayo kwenye matank yenu? Serikali ilitazame bomba la DAWASA la kibamba Kwa Mangi. Bomba hili ndy biashara kubwa ya wafanyakazi wa DAWASA LUGURUNI pamoja na wenye magari binafsi ya kuuza maji. Wapo viongozi wa DAWASA LUGURUNI ,
ambao wana miliki magari kadhaa ya kuuza maji hapa LUGURUNI.
Na wapo ambao wanahongwa pesa na wenye magari ya kuuza maji Ili wasifunguwe maji kwa wakati, Huku wanainchi wakiendelea kuteseka, wakati wao wanapiga pesa Kwa kuuza maji kwenye magari.
Bomba la DAWASA huwauzia maji sh 2000 Kwa unit 1 Kwa wenye magari ya maji, Na huku wenye magari huuzia wanainchi 20,000 Kwa unit 1. Kama sio UFISADI ni nini?
Bomba la DAWASA Kwa Mangi ndiyo chanzo cha vurugu zote za maji Kwa wananchi wa LUGURUNI KIBAMBA .
Serikali ilitazame hilli Kwa makini.,