TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.
Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!
Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!
Ahsanteni sana Wana UKAWA!