Ahsanteni sana Wana UKAWA! Msife moyo!

Ahsanteni sana Wana UKAWA! Msife moyo!

Tupo humu kama yatima,ila mwisho wangu humu baada ya uchaguzi..
Tulioupa huu mtandao umaarufu hatuheshimiwi na mods.
Jf bila makamanda wa cdm usingekuwa na umaarufu.

@Max amepofushwa na umaarufu wa jf, tutafanya maamuzi muda ukifika.
 
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.

Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!

Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!

Ahsanteni sana Wana UKAWA!

Acha utapeli huo.
 
jifunzenl staha !
 
kuna dada mmoja anaitwa sijui somebody Nkwambi aliwahi kuimba "pamoja na yote nasonga mbele, kama moto nazidi kuwasha,...Najipa moyo" Lets proceed my commanders, hii ni vita, huenda tukapambana mpaka siku tunarudi kaburini, kama vile sisi tunavyochukulia kwa uzito chama, misimamo na itikadi zetu, wenzetu pia wanachukulia hivyo hivyo upande wao! Imagine wewe ndio ungekua moderator then mtu analeta topic inayoponda ukawa, usingekubali hilo litokee, ungetafuta jinsi tu ya kupunguza makali ya uzi huo kama sio kuutoa kabisa. Ninachotaka kusema ni kwamba tusitarajie fair play from mods, tuangalie mbele, NYUMA MWIKO, narudia tena, hii ni vita! tuomber uchaguzi upite salama,, viva UKAWA! ngoja niendelee kusikiliza kibao cha king kikii Salamule!
 
Makamanda gani mnajikunyata kama kuku alielowa??? Hebu ona mnavyolalamika kwa huruma hapa! Hivi kwa akili yenu mnafikiri hapa JF kuna wapiga kura wangapi?
mkuu we hujitambui... zanzibar kama nchi ina wapiga kura laki 5.... Jf kuwa users kama laki 2, kunanposts zinatolewa hapa zinawekwa kwenye magroup ya whatsap, tweeter, fb etc.... na hata baadhi ya magazeti... mwisho wa siku impact ya jf ni kubwa japo wameaanza udwanzi huu wa mbele kwa mbele na hii itawacost... kuna uwezekano mkubwa sana mwanahalisionline ikachukua nafasi ya jf huko tunako enda....
 
mm nilianzisha Uzi faster dk 0 ukafutwa
 
daaa mkuu ni kweli aisee ndio maana mm magazeti huwaga sisomi maana story inakuwa ishakuwepo humu hata zaidi ya siku tatu ndio unakuja kuikuta wanatoa kwenye gazeti na mbwembwe nyiingi tena u akuta Uzi ulianzishwa na watu ambao wanawapiga madongo kila siku humu
 
Ukawa bana kila sehemu ni kalalamika tu kama kwenye huu uzi mpo peke yenu lakini kila mmoja anajitia unyonge inachekesha sana.
 
mm nilianzisha Uzi faster dk 0 ukafutwa
Hivi kuna platform ambayo Ukawa wanatoa michango yao na kujadili mambo yao kama JF kazi sana kuwalidhisha watanzania tumelelewa malezi ya kulalamika na kulialia tu.
 
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.

Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!

Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!

Ahsanteni sana Wana UKAWA!

Na umukatae na mama yako maana tangu uzaliwe mama yako ni huyo huyo hauchoki?

Fikirini sana nyie vijana bado muna safari ndefu sana na nchi hii kuliko Lowasa.

Kama hela kuleni maana ni za walipa kodi alizoiba, zinarudi kwa style ya yeye kutaka madaraka.

Na hiyo ndio njia pekee, maana Mungu kaujakaza tamaa ya URAIS moyo wa El ili hela irudi kwetu.

Kuleni deal zimehamia CHADEMA
 
Jf wamejiaribia sana.ata mim baada ya uchaguzi najitoa mazima.
 
Tuko pamoja hawatuwezi Ukawa hatulipwi na mtu IT Masaki na LB7 wao wanategemea malipo na kuelekezwa waandike nini.
 
Nendeni Mwanahalisi kule hata mjiweka picha za uchi za mgombea wa ccm itaonekana poa tu, na zile chuki kwa ZZK zitapewa nafasi sana kuliko nyingine
 
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.

Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!

Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!

Ahsanteni sana Wana UKAWA!

ni shame kwa jf...yaan ni shame ya mwaka...nimetoa thread 3 zote nipiigwa ban juu kwa juu.....kila nikibadilisha hata heading hali ni tete asante sana JF.....Ni Unafiki wa hali juu
 
Back
Top Bottom