Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,664
Safari yangu ya Dar to Dodoma ilikuwa mujarabu sana utafikiri nilikuwa ndani ya Turkish airlines. Aisee sikudhani kama Tanzania kuna usafiri wa bus mtamu kama huu, very very classical.

Hakuna kukunja miguu ni kama upo ndani ya business class angani

Kimbinyikyo I will forever miss you, toka nianze kupanda hizi bus zinazoitwa luxury bus sijawahi kukutana na gari nzuri kama hii.

Kwanza wafanyakazi wananukia safi.
 
Hakuna Kama kimbinyiko na shabiby VIP..ABC BADO SANA LEVEL ZAKE ZA UPPER CLASS HATA CHOO NDANI HAWANA
Sa ndo uandike kwa herufi kubwaaaa....😡lione vileee....Ndio maana ndege joni🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…