Chief wa kibena
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 686
- 397
ungetukumbushia Uzi wako ili watu waendelee kutiwa moyo, japo najua kuwa kuna walio kukatisha tammaa, lakn vyote hivyoo vinasaidia kukupeleka mbele.
Dhihaka na Kashfa, hazija wahi kujenga. Na wenye roho kama hizi, kamwe hua hawaaminiwi...[emoji57] [emoji57]umepata kazi gani mkuu huko jijini Dar
sije ukawa house boy
Ndio, ampelekee Lusekelo au Gwajima.Fungu la 10 manamaanisha mshahara ukiwa 1,000,000 nimpelekee mchungaji 100,000?
✅Fungu la 10 ni kuwasaidia.kumbuka kumtolea mungu fungu la kumi
Ubarikiwe Mkuu ila nikusisitize tu kuwa jitahidi sana katika Mshahara wako wa kwanza usisahau kumpa Mwenyezi Mungu ile 10% yake na sadaka ya Shukurani pia. Na kama haitoshi kwakuwa mwenyewe umeshakiri kuwa umefanikiwa kupitia JF basi nakushauri huko utakakokuwa jitahidi kuwa ' Balozi ' mzuri wa JF. Wosia wangu tu kwako tafadhali siyo kwamba sasa umeshapata Kazi / Ajira ndiyo uanze kuwa na ' majipu ' namaanisha nyodo, dharau na kubadilika kabisa kitabia bali endeleza zile zile tabia zako njema, uwe na kiasi, sali sana na usiwatupe ' Washkaji ' uliokuwa ' ukisota ' nao Kijiweni na badala yake Wewe sasa ndiyo unatakiwa uwe ' daraja ' lao zuri katika kuwafanya na Wao wafanikiwe kama Wewe ili siku moja nyote muwe na ajira na mafanikio kimaisha. Yangu ni hayo tu Mkuu na kila la kheri!