Ahsanteni JamiiForums nimepata kazi

Ahsanteni JamiiForums nimepata kazi

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habarini za asubuhi wapendwa natumaini mko safi na afya njema.

Nimeleta uzi huu kutoa shukrani za dhati kabisa kwa wadau wa JamiiForums nilileta uzi hapa kutafuta kazi kweli nilikua na hali mbaya kiuchumi na sikujali kuna matangazo mangapi ya wanaotafuta kazi nilijaribu bahati yangu na mungu akajibu nimepata kazi jijini Dar

Hivyo sina budi kushukuru na pia kuwapa moyo vijana wenzangu wanaotafuta ajira.

Ahsanten na Mungu awabariki!
 
umepata kazi gani mkuu huko jijini Dar
sije ukawa house boy
 
Habarini za asubuhi wapendwa natumaini mko safi na afya njema.

Nimeleta uzi huu kutoa shukrani za dhati kabisa kwa wadau wa JamiiForums nilileta uzi hapa kutafuta kazi kweli nilikua na hali mbaya kiuchumi na sikujali kuna matangazo mangapi ya wanaotafuta kazi nilijaribu bahati yangu na mungu akajibu nimepata kazi jijini Dar

Hivyo sina budi kushukuru na pia kuwapa moyo vijana wenzangu wanaotafuta ajira.

Ahsanten na Mungu awabariki!

Ubarikiwe Mkuu ila nikusisitize tu kuwa jitahidi sana katika Mshahara wako wa kwanza usisahau kumpa Mwenyezi Mungu ile 10% yake na sadaka ya Shukurani pia. Na kama haitoshi kwakuwa mwenyewe umeshakiri kuwa umefanikiwa kupitia JF basi nakushauri huko utakakokuwa jitahidi kuwa ' Balozi ' mzuri wa JF. Wosia wangu tu kwako tafadhali siyo kwamba sasa umeshapata Kazi / Ajira ndiyo uanze kuwa na ' majipu ' namaanisha nyodo, dharau na kubadilika kabisa kitabia bali endeleza zile zile tabia zako njema, uwe na kiasi, sali sana na usiwatupe ' Washkaji ' uliokuwa ' ukisota ' nao Kijiweni na badala yake Wewe sasa ndiyo unatakiwa uwe ' daraja ' lao zuri katika kuwafanya na Wao wafanikiwe kama Wewe ili siku moja nyote muwe na ajira na mafanikio kimaisha. Yangu ni hayo tu Mkuu na kila la kheri!
 
shukrani sana Gentamycine umeniambia kitu muhimu sana mkuu hata hivyo namuomba mungu anikumbushe njia zake na pia nisisahau niliyopitia Jamiiforums imekua mwanga kwangu nimejifunza mengi sana namuomba mungu aendelee kuiangaza jamiiforums ili iwe mwanga kwa watafutao ajira
 
Habarini za asubuhi wapendwa natumaini mko safi na afya njema.

Nimeleta uzi huu kutoa shukrani za dhati kabisa kwa wadau wa JamiiForums nilileta uzi hapa kutafuta kazi kweli nilikua na hali mbaya kiuchumi na sikujali kuna matangazo mangapi ya wanaotafuta kazi nilijaribu bahati yangu na mungu akajibu nimepata kazi jijini Dar

Hivyo sina budi kushukuru na pia kuwapa moyo vijana wenzangu wanaotafuta ajira.

Ahsanten na Mungu awabariki!

Barikiwa
 
Asnte kushukuru, ubarikiwe xna kwa kurudisha return kwetu
 
Ubarikiwe Mkuu ila nikusisitize tu kuwa jitahidi sana katika Mshahara wako wa kwanza usisahau kumpa Mwenyezi Mungu ile 10% yake na sadaka ya Shukurani pia. Na kama haitoshi kwakuwa mwenyewe umeshakiri kuwa umefanikiwa kupitia JF basi nakushauri huko utakakokuwa jitahidi kuwa ' Balozi ' mzuri wa JF. Wosia wangu tu kwako tafadhali siyo kwamba sasa umeshapata Kazi / Ajira ndiyo uanze kuwa na ' majipu ' namaanisha nyodo, dharau na kubadilika kabisa kitabia bali endeleza zile zile tabia zako njema, uwe na kiasi, sali sana na usiwatupe ' Washkaji ' uliokuwa ' ukisota ' nao Kijiweni na badala yake Wewe sasa ndiyo unatakiwa uwe ' daraja ' lao zuri katika kuwafanya na Wao wafanikiwe kama Wewe ili siku moja nyote muwe na ajira na mafanikio kimaisha. Yangu ni hayo tu Mkuu na kila la kheri!

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ampe mungi fungu la 10 [emoji144]
 
Fungu la 10 manamaanisha mshahara ukiwa 1,000,000 nimpelekee mchungaji 100,000?
 
Back
Top Bottom