kweli dunia ina maajabu nawe kyalosangi ni wa ajabu!! Mchezo wa mpira tu umekufanya uwemropokaji na mbaguzi!!
Haki yako kufurahia ushindi wa ghana... Ingelikuwa unashangilia taifa stars hapo ungestahili tuzo.!! Sasa unachanganya chuki na hasira zako ilimradi utoe joto lako go ahead jiburudishe, lakini weka kichwani afrika na uweusi unaoufahamu wewe ni wako pekee!! Hivi sasa afrika haijigambi au kubweteka kwa rangi yake au ubantu wake.(( masiala na mambo ya rangi yamepitwa na wakati )) damu zimeshachanganyika makabila ya waarabu na makaburu na wazungu pori wamezaana na waafrika na kuunda taifa la kisasa. Fyi tazama namibia,mauritania, morroco,sudan,s/africa,tanzania,misri nk... Nawe kesho utaanza kutafuta mke wa kiaarabu! Au viongozi wako wapo njiani kusaka wazungu au waarabu!! Tme will tell.