Hongera!
Great and congrats..- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!
William.
You still have my unflinching endorsement.
Hivi Shyrose Bhanji naye yupo au ameshatolewa?
umeanza dharau kabla hata hujaupata huo ubunge.Km ulijua unataka kupumzika kwa nini umeleta mada usiku huu? Si ungelala ukaja asubuhi?Jibu hoja hapa acha dharau za mapema!- Mkuu heshima mbele sana, ukisema wewe Aminia! Wakuu wengine wote JF tupo wote ila naomba kupumzika maana kampeni ilikuwa kali sana nimechoka nahitaji kupumzika kwa muda kidogo!
William.
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!
William.