HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 180
- 217
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali
Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.