- Kama ninakuelewa vizuri hapa unaongelea the enforcement of the poshos rules, sio viwango vya ajira as of the ishu at hand!, they have nothing to do with each other!
William @ NYC, USA.
Naona hujanielewa vizuri, kama ni long term solution iwe katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa matumizi ya serikali kama kauli mbiu ya kuhakikisha kuna mwelekeo mzuri wa uchumi. Kuhusu point yako ya viwango vya ajira nimesema katika post nyengine tunaweza kuwaongezea mshahara watumishi wa umma (ambao pia utakatwa kodi) na kufutulia mbali posho zisizokuwa na tija . Hilo litaweza kuwaweka wafanyakazi maofisini na pia kudhibiti ufisadi wa kiidara. Kinachoendelea sasa ni ufisadi wa kiidara ambapo posho hazithibitiwi na matokeo watu wasio na nia njema hutumia hizo posho kama njia moja au nyengine ya kujitajirisha na hilo sikuungi mkono ndugu.