Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania


FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.

Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua viwanda vya betri zenye ubora duniani hapa hapa Tanzania.

Mtwara kucheleeee.

Volt Resources is targeting to become a preferred supplier of high quality large flake graphite to the emerging high technology industry.

The above objective is supported by Volt:

1.Increasing and optimising our current 179Mt @ 5.1% TGC JORC Resource containing high quality Jumbo and Super Jumbo graphite in Tanzania;

2.Utilising unique skills and experience of board members, stakeholders, customers and partners to develop innovative and competitive project development solutions;

3.Targeting highest margin (i.e. revenue to cost ratio) operations amongst our peers.
Location of Namangale Project -southern Tanzania

- The Mozambican Mobile Belt represents a band of highly metamorphosed rocks extending through East Africa

- Tanzanian graphite appears to contain larger flake sizes however with lower average total graphitic carbon grades than Mozambique

- Tanzania is a very stable political and economic investment destination

- Volt has established excellent local partnerships supporting tenure and approvals

Maiden Inferred JORC Resource

- Maiden total JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC

- Total of 82 RC holes and 9 diamond drill holes

- Very shallow resource (<100m) / Low cost deposit to explore and mine

- Infill drilling program to commence in April 2016

- Diamond drilling test-work ongoing; focused on graphite recovery and product quality of concentrates following flotation

Namangale PFS Underway

A Pre-Feasibility Study has commenced for the Namangale Project including:

- Metallurgical testwork: Flake size and concentrate optimization underway to refine the metallurgy of the project

- Marketing: MOUs with reputable end-users signed by mid-2016

- Mine planning: Several production options being considered to identify our target market and optimal market entry production point

- Plant and infrastructure: Design work to 25% capital and operating cost accuracy

- Experienced firm Battery Limits to deliver the PFS by latest Q4 2016

- Tenure and approvals: Progressing in parallel with PFS schedule

Summary

1.Volt Resources is developing the quality Namangale graphite project in southern Tanzania - the most prospective graphite territory in the world

2.Predicted strong future demand growth for the Super Jumbo and Jumbo flake size graphite product contained at Namangale

3.Fully funded Pre-Feasibility Study to deliver a largely derisked Namagale project in 2016

4.Volt board & management have demonstrated a strong focus on delivery of commitments and targets

5.Volt's development stage represents significant value upside for resources investors interested in exposure to the future high technology industry supply chain.

To view the presentation, please visit:
http://abnnewswire.net/lnk/6T2L74Q1


About Volt Resources Ltd

Volt Resources Ltd (ASX:VRC) is a graphite exploration company listed on the Australian Stock Exchange under the ASX code VRC. The Company is focused on the exploration and development of the Jumbo Flake Namangale graphite project in Tanzania which has the potential to add to value for shareholders.

The Namangale Project is one of the largest graphite deposit in Tanzania containing a JORC compliant Inferred Resource of 179Mt @ 5.1% TGC. The project is exceptionally well located in South Eastern Tanzania being 140km from a deep-water port and 10km from sealed roads. Mineralisation at the three drilled deposits, occurs from surface and remains open in all directions. After the completion of this the recent capital raising the Company is now fully funded to complete the Pre-Feasibility Study into commencing production of high quality flake graphite targeting the rapidly expanding lithium-ion battery market. Volt has established a dominant tenement position in this extremely well located graphite rich part of Tanzania.

Source:Volt Resources Limited (ASX:VRC) Investor Presentation - March 2016
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Na waandishi wa habari mtakaoiandika habari hii magazetini mkumbuke credits kwa JF na FaizaFoxy aliyewajuza. Maana wengi wenu mmekalia kutafuta habari za udaku tu, habari muhimu za uchumi na malighafi inayobadilisha aina ya magari duniani ipo hapa kwetu Tanzania na yenye ubora kuliko yoyote ingine duniani nyie hamna hata habari kwa kuendeleza udaku wa kujazana ujinga tu.
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,010
Likes
2,500
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,010 2,500 280
Na waandishi wa habari mtakaoiandika habari hii magazetini mkumbuke credits kwa JF na FaizaFoxy aliyewajuza. Maana wengi wenu mmekalia kutafuta habari za udaku tu, habari muhimu za uchumi na malighafi inayobadilisha aina ya magari duniani ipo hapa kwetu Tanzania na yenye ubora kuliko yoyote ingine duniani nyie hamna hata habari kwa kuendeleza udaku wa kujazana ujinga tu.
Thanks dada FF
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Mikataba itakayosainiwa hapo iwe na maslahi kwa Taifa.
Pamoja na ile gas ya Helium
Ndiyo maana tunamwomba Magufuli ahakikishe kwenye hii graphite viwanda vya betri za magari mapya ya umeme vinaanzishwa hapa hapa na tusiuze malighafi, watakuja tu.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Volt Resources Limited (
googlechart.gif
ASX:VRC) is pleased to announce that Namangale Pre-Feasibility Study (PFS) testwork has produced an exceptional graphite concentrate product for the Lithium-ion battery market. Excellent metallurgical results from both the Namangale 1 and 2 deposits that make up the majority of the JORC Resource at the Namangale Project have been received. The concentrates were produced from diamond core composite samples collected from the 2015 drilling program and were achieved through a conventional circuit of milling and flotation that was carried out at ALS in Perth. No industrial chemicals were used to achieve these results. The flotation flow sheet optimisation remains ongoing with the aim of further improving the purity and recovery of our graphite concentrate product offering.

Soma zaidi:

Volt Resources Ltd (ASX:VRC) Graphite Testwork Produces Exceptional Quality Concentrate
 
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
4,424
Likes
3,299
Points
280
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
4,424 3,299 280
Kwani ungempongeza Makufuli kungekuwa na tatizo gani hongera kwa kuleta habari ya maendeleo kwa taifa maana waandishi Wa habari na wengine wameshikilia udaku wa Dodoma tu
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Sasa JK anahusika vipi na uwepo wa rasilimali tulizonazo!?

Wewe nawe!
Swali zuri sana.

Kumbuka kuwa zile safari za Kikwete bila kuchoka ndiyo zilizozaa matunda kwa kuwakinaisha wawekezaji kuwa Tanzania ni salama na waje kuwekeza katika utafiti.

Mali za chini ya ardhi bila kutafutwa hazionekani. Na hao watafutaji inabidi wakinai kwa kuwa convince usalama wao kwanza. Si rahisi kumuingiza mtu na fedha zake kwenye mapori yenye Black Mambas kufanya utafiti tena kwa fedha zake mwenyewe. Hapo uelewe kuwa ile smile ya Kikwete ilifanya kazi kubwa sana unless uwe huwezi kufikiri.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,860
Likes
23,949
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,860 23,949 280
Kwani ungempongeza Makufuli kungekuwa na tatizo gani hongera kwa kuleta habari ya maendeleo kwa taifa maana waandishi Wa habari na wengine wameshikilia udaku wa Dodoma tu
Hili ni la Kikwete.

Magufuli ntampongeza atapohakikisha viwanda vya betri vinaletwa Mtwara na malighafi inatumika hapo viwandani.

Ni wakati muafaka wa Magufuli kuhakikisha tunaenda hatua kumi mbele kwa kuwakinaisha makampuni kama Tesla waje kuunda magari ya betri hapa Tanzania kwani malighafi muhimu kabisa kwa hayo magari ndiyo hiyo Kikwete katuvumbulia, sasa kazi kwetu.
 
shaks001

shaks001

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
1,254
Likes
860
Points
280
shaks001

shaks001

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
1,254 860 280
Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".
 
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
4,424
Likes
3,299
Points
280
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
4,424 3,299 280
Swali zuri sana.

Kumbuka kuwa zile safari za Kikwete bila kuchoka ndiyo zilizozaa matunda kwa kuwakinaisha wawekezaji kuwa Tanzania ni salama na waje kuwekeza katika utafiti.

Mali za chini ya ardhi bila kutafutwa hazionekani. Na hao watafutaji inabidi wakinai kwa kuwa convince usalama wao kwanza. Si rahisi kumuingiza mtu na fedha zake kwenye mapori yenye Black Mambas kufanya utafiti tena kwa fedha zake mwenyewe. Hapo uelewe kuwa ile smile ya Kikwete ilifanya kazi kubwa sana unless uwe huwezi kufikiri.
Kwa hiyo waliokuwa wanamwandama na kufikia kumkejeli uongozi wake wamesafiri kwenda nje Mara nyingi kuliko kwenda vijijini kwao kuwaona wazazi wake ni walikuwa hawafikiri
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,405
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,405 280
Hili ni la Kikwete.

Magufuli ntampongeza atapohakikisha viwanda vya betri vinaletwa Mtwara na malighafi inatumika hapo viwandani.

Ni wakati muafaka wa Magufuli kuhakikisha tunaenda hatua kumi mbele kwa kuwakinaisha makampuni kama Tesla waje kuunda magari ya betri hapa Tanzania kwani malighafi muhimu kabisa kwa hayo magari ndiyo hiyo Kikwete katuvumbulia, sasa kazi kwetu.
Kikwete anahusika vipi hapo, tafiti za madini Tanzania ni za miaka mingi, hata kabla hajaingia madarakani
Hivi unafahamu yeye ndio aliyetuangusha kwenye dhahabu akiwa waziri wa Madini?
 

Forum statistics

Threads 1,237,125
Members 475,408
Posts 29,279,120