FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,188
- Thread starter
- #41
Kwahiyo Zitto ndo alikuwa Kiongozi wa hiyo tume kama ulivyosema hapo mwanzo?bure kabisa
Kikwete alisema atawateuwa "viongozi" wa upinzani kwenye hiyo tume, sasa wewe sema kiongozi wa upinzani kwenye hiyo tume alikuwa nani?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?