Ahsante Kikwete - Chuo Kikuu Kingine

huku unaongeza idadi ya vyuo, huku unapunguza mikopo ya elimu. Hivi unajua mwaka huu kuna maelfu ya wanafunzi hawataweza kujiungana vyuo vikuu kwa kushindwa kujilipia ada?
NB: angalia vigezo vya kupata mkopo 2012/13
Hayo ndio mazingaombwe yake.
 
big up presidaa, umejitahidi.
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Naamini hakuna linalo mshinda ila ni uamuzi wake tu unahitajika.

huku hamna wa kuwapiga propoganda rahisi hivo....wanapatikana vijijini na ambapo nao wameanza kuzinduka na sio hapa JF.magamba mnaleta raha nyie uwiiiii
 
Nasikia majengo ya UDOM yashaanza kuporomoka. Na hela za NSSF zitarudishwa lini?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Hongera sana!
 
Mhhhhhh cha kijeshi!!!! Kitawafundisha weledi wa kazi au mambo ni yale yale??? Litle of my expectation!!!! Tunataka maisha bora kwa kila mtanzania Zomba.
 
Nasikia majengo ya UDOM yashaanza kuporomoka. Na hela za NSSF zitarudishwa lini?

Aise tayari Mkuuu? Kuna moja pale yaani lilkosewa ikabidi mkandarasi aweke nguzo ya kulishika na inaonekana kabisa halikuwa sawa. Pale pale nikasema bila kuficha, chuo hikiii life span yake ni ndogo sana!!!! Furniture tu nilichoka, nafikiri mwanafuzi akikalia kiti kwa miezi mitatu kimekaa sana!! Dhaifu na legelege!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Teh teh teh! Mnisaidie jamani, hivi hii ilikuwa ni moja kati ya zile ahadi zake 69 za wakati wa kampeni 2010? Naomba wajuzi andaeni thread ya kufuatilia utekelezaji wa zile ahadi zake!

Nampenda president mbunifu kama yeye, Jana Mbowe anauliza prezda yuko kutatua migogoro ya nchi na kutoa pole kama ilivyo jadi yake, leo anamwonesha kuwa anawajali watz! Bingwa wa kupotezea, akiona watu wanambana sana anaibuka na jambo. Mtaalam wa kuutumia "upepo"

Jamani mi napita kuwasalimu tu!
 
hicho chuo sio Muonduli ambacho sasa kina itwa TMA? kwamba kime boreshwa zaidi? na nini impact yake katika kukuza uchumi? au tutapunguza gharama za kuwa peleka sandhurst? au usa au china au urusi? na tuna mpango wa vita karibuni ? hivyo ni kipa upembele chetu?
 
Munaotoa Hongera munafahamu hiki ni kitu gani au basi mumeona kakosa msiba wa kuhudhulia?

Chuo kikuu cha Kijeshi! Chuo kikuu yaani University? Au ni kama chuo kikuu cha Magereza Ukonga, Chuo kikuu cha jeshi Monduli, Chuo kikuu cha CCM kivukoni, Chuo kikuu cha polisi Kurasini.

Hivi vyuo vikuu vimesaidia kuondoa ujinga? vimeleta maisha bora?

Hawa ni watu waliokosa jinsi ya kuiba pesa za wizara wakaamua kuanzisha ujenzi feki kama huu. Uchafu mtupu!
 
hicho chuo sio Muonduli ambacho sasa kina itwa TMA? kwamba kime boreshwa zaidi? na nini impact yake katika kukuza uchumi? au tutapunguza gharama za kuwa peleka sandhurst? au usa au china au urusi? na tuna mpango wa vita karibuni ? hivyo ni kipa upembele chetu?

Siyo Monduli, Monduli ni chuo cha kijeshi lakini si chuo kikuu. Hiki ni Chuo Kikuu (University) cha Kijeshi na kipo Dar.
 
Zomba hana uwezo au uelewa wa kuweza kujibu haya maswali. Yeye anaposikia chuo kikuu cha kijeshi, mawazo yanamtuma kwamba ni Military University. Kumbe hajui kwamba tuna hata chuo kikuu cha polisi kurasini na chuo kikuu cha magereza ukonga. Hapa haina maana kwamba ni universities, bali katika mafunzo yao ya kijeshi vyuo hivyo ndiyo vinatoa mafunzo advanced. Haina maana ukitoka hapo unakuwa na digrii au diploma ya kijeshi, ya polisi au ya magereza.

Product za hivyo vyuo: Mwema, Kamuhanda, Kova, Saba sita, (ongezeni list wana JF) =Mashaka matupu!
 
Siyo Monduli, Monduli ni chuo cha kijeshi lakini si chuo kikuu. Hiki ni Chuo Kikuu (University) cha Kijeshi na kipo Dar.

Afadhali kimekuja wakati muafaka, kianze kufundisha watakaoenda malawi kukomboa eneo letu. Vile vile kitafundisha watu wa kusambaratisha wezi wanaoiba dhahabu yetu, wanyama wetu, uranium yetu gesi na mafuta yetu, kweli mafisadi wa kimataifa watakiona.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Wewe hujafurahiii?!!!! Akili yako iko sawa wewe.

big up presidaa, umejitahidi.
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Naamini hakuna linalo mshinda ila ni uamuzi wake tu unahitajika.

Elimu ni ufunguo wa maisha-hongera

Wakuu,
thrd kama hii itapata michango mingi si kwa sababu yamesemwa ya maana ila inastaajabisha. Binafsi nimechangia kwa mshangao kwamba iweje raia wa JF kwa miaka yote hii ashindwe kabisa kabisa kuelimika? kweli waweza kusema hili ktk jukwaa la siasa? Kufungua chuo cha jeshi? Hili jeshi la waenda kwa miguu?

Muacheni muhusika aendelee na hivyo vituko vyake, balaa ni hapo hata ninyi munapoamini inaleta maisha bora. Hata punda wako mvivu unatakiwa umuseme kwa majirani!
 
Mungu wangu,hivi uliyoandika unamaanisha au,because this is empty talk.Na hayo maisha bora kwa kila Mtanzania unayo-ongelea yako wapi.Wewe you deserve a bullet,kwa kuwa sasa unawakebehi Watanzania.Maisha bora kwa kila Mtanzania yanapatikana kwa huo utitiri wa vyuo unaotoa wasomi fake,ambao ni literally untrainable.Mbaya zaidi ni kwamba wengi wameingia vyuoni kiujanja ujanja na kufaulu kiujanja ujanja tu.Ninajua ninacho ongea, kwa kuwa wengi wamepitia mikononi mwangu and I know how they look like.Ni upuuzi mtupu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni

Napongeza hii progress na napongeza sana walioanzisha idea ya hiki chuo, walioendeleza wazo, na waliokamilisha wazo

Je tunaweza kupata historia fupi ya hii development hadi kufikia kwenye matunda?? nani alipanda mbegu, nani alimwagilia, nani alilinda ngombe wasile majani hadi leo

CONGRATS TO KJ AND ALL INVOLVED KULETA HAYA MAENDELEO
 
Back
Top Bottom