suez

Suez (Arabic: السويس‎ as-Suways; pronounced [esseˈweːs]) is a seaport city (population of about 750,000 as of August 2018) in north-eastern Egypt, located on the north coast of the Gulf of Suez (a branch of the Red Sea), near the southern terminus of the Suez Canal, having the same boundaries as Suez Governorate. It has three harbours, Adabiya, Ain Sokhna and Port Tawfiq, and extensive port facilities. Together they form a metropolitan area, located mostly in Africa with a small portion in Asia.
Railway lines and highways connect the city with Cairo, Port Said, and Ismailia. Suez has a petrochemical plant, and its oil refineries have pipelines carrying the finished product to Cairo. These are represented in the flag of the governorate: the blue background refers to the sea, the gear refers to Suez's status as an industrial governorate, and the flame refers to the petroleum firms of Suez.

View More On Wikipedia.org
  1. Alwaz

    Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  2. O

    Unafahamu kuwa mfereji wa Suez ulitengenezwa?

    Hapo zamani, wafanyabiashara wengi walitokea na kutafuta masoko na fursa za kibiashara nje ya mipaka ya nchi yao. Moja kati ya safari ndefu ilikuwa ni ile ya kulizunguka bara la Africa ili kuweza kuunganisha masoko ya ulaya na bara la Asia. Tangu kupatikana kwa meli za kisasa idadi ya meli kati...
  3. Da Vinci XV

    Baaba ya Meli ya Evergreen kukwama Suez Canal pia lori la Evergreen lakwama China

    Jana usiku nlikuwa napitia taarifa kadhaa wa kadhaa mtandaoni, nikakutana na taarifa moja kwambe meli kubwa ya Evergreen iliyokwama pale Suez Canal imeanza kuelea, nikapitia habari kadhaa nipo nikakutana na hivi vitaharifa vya watu ambavyo watu huviwekea mhemko wa hisia tofauti. Coincidence...
  4. Mchimba Chumvi

    Meli ya Evergiven yaanza kuelea Suez Canal

    Ever Given, the massive container ship blocking Egypt’s Suez Canal for nearly a week, has been partially refloated, the Suez Canal Authority (SCA) said, raising hopes the busy waterway will soon be reopened. Monday’s move comes a week after the container ship ran aground in high winds, blocking...
  5. Sam Gidori

    Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

    Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote. Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
Back
Top Bottom