Alikuwa ni mwandishi na mtangazaji wa vipindi vya mipira.Alikuwa anatangaza kipindi gani
Apunzike kwa amaniAlikuwa Mwandishi Mwandamizi Radio Free Africa na Star TV.
Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Oktoba baada ya kuugua kwa muda Mfupi nyumbani kwake Mjini Bunda- Mkoa wa Mara.
View attachment 1965953
Alikuwa katika mazingira gani mkuu?Rfa kunann Mana nilimwona sauda mwilima pahala niliumia Sana
Kwanini uliumia.Rfa kunann Mana nilimwona sauda mwilima pahala niliumia Sana