Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura:
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia Wananchi kila Mtu anayestahili ajitokeze kujiandikisha kwa kuwa hiyo ni haki ya Kikatiba, Viongozi wanapatikana kwa kadi ya kupiga kura, ili mtu upate haki ya kuchagua au kuchaguliwa ni muhimu kuwa na Kadi ya kupiga kura hilo ndilo la kwanza na la msingi.