Ahmed Ally: Kufuzu kwa Yanga ashukuriwe Mo Dewji

Dah Mbumbumbu hawaijui hii
 
Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 1
Hii kima imeongea uharo!

Ngoja jumamosi mashabiki wataikojolea baada ya timu lake kufungwa
Ameongea ukweli arosto ya yanga no dawa Aina ya Simba
Na ndiyo maana Yanga ndiyo timu iliyochukua ubingwa Mara nyingi ...Ila imetoka baada ya Simba kuongoza njia
 
Hivi vitu
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.

“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.

“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.

Credit - AyoTv
Kuna vitu vinachekesha Sana,ila kwakua wanaosemewa ni mambumbumbu basi tuache ya kaisari

Ni lini Simba SC alitawala soka la Africa??,au kutawala soka la Africa maana yake ni ipi??
 
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.

“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.

“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.

Credit - AyoTv
Ndani ya hiyo miaka 5 Yanga kafika fainal ila Simba kaishia robo michuono yote ya kimataifa, hivyo Yanga ndio wa kupongeza. Labda ufafanue zaidi, ni lini Simba imetawala mechi za kimataifa?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom