Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

Yani kwa akili ya kawaida tuu eti Simba wapokwe point 6...nani kasemaa...yani Simba yote isiwe na akili wakamchezesha mchezaji ambae hana leseni.....hiyo kesi muifungue upyaa yani muwashtaki TFF na sio Simba....
Points
Mtabaki Nazo
Sisi tunamfungia Kagoma miaka 3
Na nyie tunawapa 5 nyingine
 
mwanzoni mwa ligi nyau huwa ana furaha sana ana jihakikishia utawala katikati anaanza kupoa

mwishoni anaanza kutaka kufukuza viongozi
 
Hakuna kesi pale TFF. Mfumo hauruhusu double registration, lazima utamtema mmoja. Ila katika karatasi, hata timu kumi unaweza kusign, ambayo ni kesi ya kupelekwa polisi tu huku ukiendelea kuripoti na kucheza mpira
Bali (ll) litembee ausioo
 
Back
Top Bottom