Ahadi zisipotimizwa na wanasiasa tuwashitaki???

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTtHinkers!
Kipindi cha kampeni ya uchaguzi tumeuziwa ILANI nyingi na AHADI lukuki hivyo wananchi tukawa tumevutiwa na kuweka matumaini yetu juu ya hizo alani na ahadi zao.
Washindi wameshapatikana na sasa ni kazi tuu,
Swali langu kuwa; kwa kuwa huu ni kama mkataba wetu na wao, Je wasipotimiza kwa nini washitakiwe????
Maana itakuwa ni kuchezea akili za watu na kufedhehesha watu wenye akili zao.

Karibuni tujadili.:target:
 
Back
Top Bottom