Ahadi za uongo kila siku zinaumiza

Ahadi za uongo kila siku zinaumiza

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Habarini Wanajukwaa.

Kama mpo mtaitikia,kikubwa hapa ninachotaka kuzungumzia ni hizi promise za uongo. Unakuta mtu unatoa promise ambayo moyoni mwako unajua kabisa huwezi ukaitimiza, then siku ikifika unaanza kudanganya.

Najua unaweza kutoa promise ya uongo kwa lengo la kufanikisha jambo flani but remember kwamba unapofanya vile unajipunguzia uaminifu kwa yule mtu.

Ebu jaribu kuweka viceveser kwamba wewe ndo umepewa ahad then mwisho wa siku inakuja kuwa ahadi hewa, utajiskiaje.

Hii nimejifunza mimi kipindi cha nyuma nilikuwa napenda sana kutoa ahadi za uongo, lakini baada ya kufanyiwa hivyo ndipo nimeona machungu yake.
 
Mhhhhhhh utandawazi unatuharibu sana.....masela wahuni MAMBO VIP kama mpo mtaitikia....humu hakuna wahun.....JAMIIFORUMS home of great thinker
 
Mhhhhhhh utandawazi unatuharibu sana.....masela wahuni MAMBO VIP kama mpo mtaitikia....humu hakuna wahun.....JAMIIFORUMS home of great thinker

ndo mana nikasema kama wapo wataitikia, wewe salamu yako si nimekusalimia?
 
oyooo ni mori asee.. fulu kinyuraaaa haina kwere wala joto arifuu,... nimekusoma rastaa thread imetulia sana
 
bora hata wew unaahidiwa cc wengine hata hyo ahadi ya uongo hatupewi
 
Sijaelewa hii thread ..
Ni ushauri?
Maoni?
Au umetoswa?
Frustration?
.....?????
Ngoja nipite hivi ..!
 
Hakuna mtu ambae hajawahi kutoa ahadi hewa ...!
Kwa kifupi inaonekana wewe umekutana na matapeli au dalali kakusumbua ...!!
 
Wengine hizo ahadi hewa zimo Ndani Ya damu yao, haoni Raha bila uwongo...
 
Kumbe zamani wewe ulipokuwa unatoa ahadi za uongo ulikuwa unaona rahaaaa now umetendewa wewe ndo waona chungu. Always what goes around comes around
 
Kumbe imekuuma eee..pole!! Ucmfanyie mtu kitu ambacho ukifanyiwa ww kitakuumiza..lakini ww bado young afu sharo xo tulia chalii
 
Back
Top Bottom