Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

Chaguo bora sana Dr Mpango.

Wahuni wametepeta.

Walidhan atamchagua mtu asiejua mambo ya fedha ili wamsifu sana lakin wapate uchochoro wa kupiga.

Dr Mpango chaguo bora sana.
Mapambio meengii, ....... hamna upinzani bali wapiga dili tu.
 
Bahati nzuri mafisadi wote wamo ndani ya ccm. Ndio mawaziri , manaibu, wakurugenzi, ma DC , RC nk
Ripoti ya GAG imeonesha kuna ufisadi na wizi .
Hivo akapambane na majizi ndani ya serikali ambayo ni maccm.
Asifanye kama Magufuli kuonea Wapinzani badala kupambana majizi TPA na kwengine
Hao wengine ndio hatari haswaaa
 
Ana ahidi kwani yeye ndie Raisi? So vikikamilika atakuwa amekamirisha Mpango au Mama Samia? aache ubazazi Kazi ni ya Mama now yeye ni Msaidizi tu aache Sifa.. Asiwe kama Anold Shwarzternegger Baada ya kuchaguliwa kuwa Govana wa Jimbo la Calfornia alijua ndio keshakuwa Raisi wa United States of America.
Schwarzenegger alijua kabisa hawezi kuwa raisi kwa sababu yeye alizaliwa Austria ilhali rais wa marekani anapaswa kuzaliwa nchini. Usijipambe na majina makubwa kama hujajielimisha bado.
 
Habari,

Akilihutubia bunge kwa mara mwisho mara baada ya kuteuliwa kuwa makamu wa Rais, Dr Philip Mpango ameahidi kuwa miradi yote iliyoachwa na hayati Rais Magufuli lazima ikamilishwe. Dr Mpango ameitaja miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, Maji ,Afya etc kuwa kukamilika kwa miradi hiyo ndiyo njia pekee ya kumuenzi kipenzi cha watanzania Dr. Magufuli, hivyo anaenda kutumia nguvu na uadilifu wote kuhakikisha miradi hiyo inakamilika.

My take:
Ahadi hii ya Dr Mpango ni pigo kubwa kwa mafisadi kwani kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

Godbless Lema, Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya Chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya Rais Samia, hivyo kukamilika na kuzinduliwa kwa miradi hiyo itakuwa ni aibu kubwa sana kwa Chadema na mafisadi wote wasioitakia mema nchi yetu.

​
Wizi wote wa JIWE huyo Dr. Mpango ndie aliidhinisha. Tusitegemee chochote hapo. Hiyo ni Ajira kwake tu.
 
Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.

Sukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .

Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.
Tuliza munkari. Samia alikuwa Makamu wa JPM. Afu Dotto Biteko, Medard Kalemani ni wapwa wa JPM. Hivi akiwatumbua kwa haraka hivyo. Ki Africa watamfikiriaje? Hilo ni Genge la wezi. Ata dili nalo slowly bila kuharibu kura za Wasukuma mikoa 3.
 
Tuliza munkari. Samia alikuwa Makamu wa JPM. Afu Dotto Biteko, Medard Kalemani ni wapwa wa JPM. Hivi akiwatumbua kwa haraka hivyo. Ki Africa watamfikiriaje? Hilo ni Genge la wezi. Ata dili nalo slowly bila kuharibu kura za Wasukuma mikoa 3.
Utasubiri sana
 
Wanazi wa ufipa wanashangilia wasichokijua. Uteuzi wa Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais maana yake ni kukamilisha ndoto ya MAGUFULI (RIP).
NB: Dr. Mpango aliibuliwa na Magufuli, tena kwa kuteuliwa na kuwa mbunge hatimaye akamteua kuwa waziri wa wizara nyeti kabisa ya Fedha kwa imani kubwa sana. Huyu ndiye mwendeleza maono ya MAGUFULI.
Unajua majukumu ya VP?
 
Ni ngumu sana kuuwa legacy ya Magufuli na uzuri jamaa alikuwa anasema hadharani watanzania wanajua.


Ndiyo maana mpinga legacy ya Magufuli hatajibiwa na Magufuli wala watoto wa Magufuli mbali atajibiwa na watanzania.


Kama Ndugai anasema Magufuli alishauriwa vibaya itabidi atueleze huo mkataba unasemaje tofauti na aliyosema Magufuli.

Watakaohoji haya ni watanzania.


Ni kama waliojaribu kuuwa legacy ya Nyerere huwa wanatapa upinzani mkali hadi leo wakati Nyerere alishafariki zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Watu huwa wanarejea hotuba tu.

Maneno huiishi
 
Back
Top Bottom