Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

Serikali inayobana matumuzi huku wao wakijilipa mishahara minono lazima ifyekelewe mbali .....

Yeyote atakayeleta ujuaji katika nchi hii lazima aondoke na maji ...

Hata hilo jiwe linu saizi halipo...
Lisu ni mwana harakati au makamu mwenyekiti wa chadema?
 
Ufisadi na ccm ni sawa na free mason na diamond
Ni bora ufisadi wa ccm japo kikombe cha kahawa wamenunua na tunakiona kuliko wale waliosema wanunua gari 255 za kampeni lakini mpaka leo hata moja hatujaiona
 
Ni bora ufisadi wa ccm japo kikombe cha kahawa wamenunua na tunakiona kuliko wale waliosema wanunua gari 255 za kampeni lakini mpaka leo hata moja hatujaiona
Kama hujayaona hayo magari basi wewe na Matonya hamna tofauti
 
Nani kajilimbikizia mali? Km ni ile taarifa ya Kakoko wa TPA ni feki. Msipende kushadadia vitu bila uthibitisho
Unajua kazi ya bunge? Unaweza kuniambia ni kikao gani cha bunge kilikaa na kupitisha bajeti au hata kujua mikataba iliyosainiwa na hayati Magufuli juu ya miradi mbalimbali mfano ununuzi wa ndege, SGR, n.k? Utawala wake uliambata na usiri mkubwa hivyo upigaji atakuwa kaufanya kiasi kikubwa kuliko zama zote za watangulizi wake
 
Huyo marehemu Magufuli ndo alikuwa mwizi wa kutupwa na CCM yote ni wezi wa kutupwa hawafai kuongoza hii nchi ila ujinga wa watanzania unafanya hizi takataka ziendelee kutusumbua kwenye nchi yetu
Jizi ni Lisu anakula mshahara wa umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini hafanyi kazi za Chadema.
 
Ahadi hii ya Dr Mpango ni pigo kubwa kwa mafisadi kwani kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.
Yaani una maana kwamba CCM ina miradi ya kitapeli wanayopewa viongozi waitekeleze?

Na hao viongozi kuwa ni utapeli, hawawezi wakaitupilia mbali kwa njia zao wanavyojuwa wenyewe?

CCM inawashikia akili viongozi hao?

Huwezi ukategemea Samia afanye vile vile kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Kiongozi mpya atatekeleza miradi kwa njia atakazoona zinafaa.

Hii mipasho yenu ya CCM, jaribuni kuifanyia akili kidogo. Mnaonekana kama majuha fulani hivi mkiendelea namna hiyo hiyo.
 
Serikali yoyote duniani inafanya kila namna ya kuwahadaa wananchi ili waendelee kuishi maisha ya kifahari.
 
Hivi sisiem wamerogwa tukishangilia akifanya mambo mazuri yenye tija kwa taifa shida iki wapi? Taifa sio la sisiem na raisi ni wa nchi sio wa lumumba hata hio ilan ya ccm ikikamilishwa ndio vizuri zaidi kma kuna mazuri kwakua wanufaika n watnzania sisi kupiga kelele ni kuleta chachu na motivation kwa viongozi na kuwakosoa na kuwakumbusha. Acheni ushamba hatutakaa kimya kamwe kwakua hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi.
Maneno ya kuishiwa haya; wakati nyie na huyo zezeta wenu mnapinga kila kitu kwani kulikuwa hakuna mambo mazuri ya kuwanufaisha watanzania?
Hayo ndiyo madhara ya kumfuatisha kwa kila kitu mtu ambaye dishi limeyumba bila kuchanganya na zenu!
 
hata raisi wa sasa atapingwa kama atafanya ujinga kwa kusigina katiba kama alietangulia.
Maneno ya kuishiwa haya; wakati nyie na huyo zezeta wenu mnapinga kila kitu kwani kulikuwa hakuna mambo mazuri ya kuwanufaisha watanzania?
Hayo ndiyo madhara ya kumfuatisha kwa kila kitu mtu ambaye dishi limeyumba bila kuchanganya na zenu!
 
Mimi nasema hivi mtaji wa ccm Ni wajinga walio wengi Sana Tena kwa asilimia Zaid ya 80 na ndio maana nao wameligundua Hilo yaan hawatak kabisa kuwekeza kwenye Elimu nzur yenye afya wanahofia wajinga watazinduka kwenye usingiz wa pono.
Nimepita fb huko kwenye account ya mtuu anayejiita Veronica France hakika ukifuatilia comments zao unapata majibu sahihi ya hiki ninachokiongea hapa.

Pia nimepata jibu sahihi kuwa ccm kumbe kwenye uchaguz hawaibi kura Kama tunavyoaminishana siku zote ,na hata Kama wanaiba basi Ni kwa kiwango kidogo Sana ,ccm inashinda kihalal kabisa hasa kwenye urais ,labda kwenye ubunge kidogo naweza kuwa na mashaka kulingana na baadh ya majimbo watu wameelimika kwa wastan wake ,na hayo majimbo Ni mjin Sana Sana huko ndiko ccm inaiba kura.

Nimejiridhisha ccm haitok leo madarakan Wala kesho maana watu walio wengi vichwa vimejaa makamasi tu hawajui hata nn kinaendelea wao Ni ushabik wa kipumbavu na huku wakiendelea kuwa maskin wa kutupwa.

Muuza karanga ukimuuliza utawala wa jpm umekusaidia Nini kwenye maisha yako ,jibu lake Ni kwamba amewadhibit mafisadi waliokuwa wanaibia nchi pesa ,pia atakwambia katumbua wenye fyet feki hayo ndio majibu yake ,ukiingia ndan Zaid na kumhoj kuwa sawa kafanya hayo Sasa baada ya hapo kipi kimebadirika kwenye maisha yako anakosa jibu Zaid ya kujikanyaga tu.
 
Mwambie Lisu afanye kazi za umakamu mwenyekiti wa chadema
Mimi sihusiki chochote na chadema. Wew unaezijua kazi tuambie ni kazi gani za makamu hapo chadema then ziweke hapa andaa uzi ataziona tuu kwani na yeye humu yumo
 
Chaguo bora sana Dr Mpango.

Wahuni wametepeta.

Walidhan atamchagua mtu asiejua mambo ya fedha ili wamsifu sana lakin wapate uchochoro wa kupiga.

Dr Mpango chaguo bora sana.
Umasikini ndio Uzalendo endelea kushangilia
 
Yaani una maana kwamba CCM ina miradi ya kitapeli wanayopewa viongozi waitekeleze?

Na hao viongozi kuwa ni utapeli, hawawezi wakaitupilia mbali kwa njia zao wanavyojuwa wenyewe?

CCM inawashikia akili viongozi hao?

Huwezi ukategemea Samia afanye vile vile kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Kiongozi mpya atatekeleza miradi kwa njia atakazoona zinafaa.

Hii mipasho yenu ya CCM, jaribuni kuifanyia akili kidogo. Mnaonekana kama majuha fulani hivi mkiendelea namna hiyo hiyo.
Tulieni dawa iwaingie na huyo mtu wenu wa Ubelgiji
 
Umasikini ndio Uzalendo endelea kushangilia
Mtanyooka tu
IMG_20210331_082632.jpg
 
Wanazi wa ufipa wanashangilia wasichokijua. Uteuzi wa Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais maana yake ni kukamilisha ndoto ya MAGUFULI (RIP).
NB: Dr. Mpango aliibuliwa na Magufuli, tena kwa kuteuliwa na kuwa mbunge hatimaye akamteua kuwa waziri wa wizara nyeti kabisa ya Fedha kwa imani kubwa sana. Huyu ndiye mwendeleza maono ya MAGUFULI.
Sasa nimeamini kilichosikiwa na wengi kuwa hamkutaka mama Samia atawazwe kuwa Rais
Kwahiyo mioyoni mwenu Rais ni Mpango na siyo Samia?
 
Wanazi wa ufipa wanashangilia wasichokijua. Uteuzi wa Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais maana yake ni kukamilisha ndoto ya MAGUFULI (RIP).
NB: Dr. Mpango aliibuliwa na Magufuli, tena kwa kuteuliwa na kuwa mbunge hatimaye akamteua kuwa waziri wa wizara nyeti kabisa ya Fedha kwa imani kubwa sana. Huyu ndiye mwendeleza maono ya MAGUFULI.
Sasa kuna shida gani akiendeleza yale maono mazuri aliyoacha hayati Magufuli?
 
Habari,

Akilihutubia bunge kwa mara mwisho mara baada ya kuteuliwa kuwa makamu wa Rais, Dr Philip Mpango ameahidi kuwa miradi yote iliyoachwa na hayati Rais Magufuli lazima ikamilishwe. Dr Mpango ameitaja miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, Maji ,Afya etc kuwa kukamilika kwa miradi hiyo ndiyo njia pekee ya kumuenzi kipenzi cha watanzania Dr. Magufuli, hivyo anaenda kutumia nguvu na uadilifu wote kuhakikisha miradi hiyo inakamilika.

My take:
Ahadi hii ya Dr Mpango ni pigo kubwa kwa mafisadi kwani kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

Godbless Lema, Tundu Lisu hawazungumzii kabisa maendeleo ya Chadema wao ni bize kumpangia cha kufanya Rais Samia, hivyo kukamilika na kuzinduliwa kwa miradi hiyo itakuwa ni aibu kubwa sana kwa Chadema na mafisadi wote wasioitakia mema nchi yetu.

Philip Mpango ameongea kwa tafsida, inahitaji akili kubwa kunielewa. Watu wako kwenye maombolezo, kwa nini ubadili MODE yao?

Isitoshe Makamu wa Rais hana mamlaka mpaka Rais afe. Kwa hiyo hiyo hoja ya kwamba kauli yake ni pigo kwa mafisadi itabidi kwanza umuue Rais Samia
 
Back
Top Bottom