Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

Mpango akishupaza Shingo kama jiwe ...

Hana maisha marefu ..

Huwezi kuishi kwa kuwanyanyasa watanzania kwa kuendeleza miradi ya hovyo kwa manufaa yenu...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kikwete ni chadema?
Sijajua msingi wa swali lako? Maana awali ulisema Philip Mpango aliibuliwa na Magufuli, nikaakuambia kuwa aliibuliwa na Kikwete akiwa anatokea Benki Kuu ya dunia, akawa mshauri ya rais kuhusiana na uchumi, baadaye naibu katibu mkuu wizara ya fedha, TRA hadi alipofikia.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Philip Mpango alikuwa waziri wa nini enzi za Kikwete?
 
Bahati nzuri mafisadi wote wamo ndani ya ccm. Ndio mawaziri , manaibu, wakurugenzi, ma DC , RC nk
Ripoti ya GAG imeonesha kuna ufisadi na wizi .
Hivo akapambane na majizi ndani ya serikali ambayo ni maccm.
Asifanye kama Magufuli kuonea Wapinzani badala kupambana majizi TPA na kwengine
 
Na itakamilika mbele ya macho yako
Serikali inayobana matumuzi huku wao wakijilipa mishahara minono lazima ifyekelewe mbali .....

Yeyote atakayeleta ujuaji katika nchi hii lazima aondoke na maji ...

Hata hilo jiwe linu saizi halipo...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Asijifanye kama hajui kwamba chato tunahitaji mkoa
 
Kwahiyo chadema ni mafisadi.......

Baada ya iyo my take [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ana ahidi kwani yeye ndie Raisi? So vikikamilika atakuwa amekamirisha Mpango au Mama Samia? aache ubazazi Kazi ni ya Mama now yeye ni Msaidizi tu aache Sifa.. Asiwe kama Anold Shwarzternegger Baada ya kuchaguliwa kuwa Govana wa Jimbo la Calfornia alijua ndio keshakuwa Raisi wa United States of America.
Arnold aliokota dodo halafu akalichezea
 
Wanazi wa ufipa wanashangilia wasichokijua. Uteuzi wa Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais maana yake ni kukamilisha ndoto ya MAGUFULI (RIP).
NB: Dr. Mpango aliibuliwa na Magufuli, tena kwa kuteuliwa na kuwa mbunge hatimaye akamteua kuwa waziri wa wizara nyeti kabisa ya Fedha kwa imani kubwa sana. Huyu ndiye mwendeleza maono ya MAGUFULI.
Kwahiyo inamaana tutarajie vigogo kujilimbikizia mali vyumbani kisirisiri, kuminywa kwa vyombo vya habari, kunyimwa kwa uhuru wa kuisemea mabaya ya watawala, mishahara ya watumishi wa serikali haitopanda, madege tulioambiwa yameleta hasara yatanunuliwa mengine mapy wakati mwananchi wa Nakaguru huko Mngeta anapiga miayo ya hali ngumu, kama ilivyokuwa kwenye utawala wa Magufuli?
 
Inatisha sana
MKUU kale kachama ni kagenge kawahuni Fulani. Hawana Sera sera za Ufisadi Ndugu Magufuli Alishamaliza sasa wamebaki kutoa matamko na kumpangia Rais SSH nini Afanye na nini Asifanye.

Nani wa kumteua na nani wakumfukuza. [emoji23][emoji23] hawa jamaa ni Komedi tupu.
Kama kweli vile maana ngoma anae piga ccm wao wanacheza yaani hawajijui wanataka nini wapo tu kama kikundi cha wavuta bangi
 
Kwa iyo chadema ni mafisadi.......

Baada ya iyo my take [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Onyesha hata post moja ya chadema wakiiongelea vizuri Tanzania.

Wao ni kushangilia ufisadi tu
 
Kama kweli vile maana ngoma anae piga ccm wao wanacheza yaani hawajijui wanataka nini wapo tu kama kikundi cha wavuta bangi
Ufisadi na ccm ni sawa na free mason na diamond
 
Huyo marehemu Magufuli ndo alikuwa mwizi wa kutupwa na CCM yote ni wezi wa kutupwa hawafai kuongoza hii nchi ila ujinga wa watanzania unafanya hizi takataka ziendelee kutusumbua kwenye nchi yetu
 
Ahadi zake za sasa au za tangia zamani?

Ufisadi wowote ulitokea chini yake siku yoyote zikiwamo za nyuma nazo wazizungumziaje?

Au una maana mizigo yoyote mizito kwa sasa akabidhiwe msukuma?
 
Cheo cha Umakamu zaidi ni ceremonial. Mwenye maamuzi ni Cd mh.Rais.
 
Kwahiyo inamaana tutarajie vigogo kujilimbikizia mali vyumbani kisirisiri, kuminywa kwa vyombo vya habari, kunyimwa kwa uhuru wa kuisemea mabaya ya watawala, mishahara ya watumishi wa serikali haitopanda, madege tulioambiwa yameleta hasara yatanunuliwa mengine mapy wakati mwananchi wa Nakaguru huko Mngeta anapiga miayo ya hali ngumu, kama ilivyokuwa kwenye utawala wa Magufuli?
Nani kajilimbikizia mali? Km ni ile taarifa ya Kakoko wa TPA ni feki. Msipende kushadadia vitu bila uthibitisho
 
Back
Top Bottom