Ahadi ya JPM kwa Simbachawene

Ahadi ya JPM kwa Simbachawene

mumburya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
321
Reaction score
448
[h=1]Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli![/h]
Hii ni kauli ya mgombea wa CCM JP Magufuli kufuatia kukasirishwa na mgao huu wa Umeme unaoendelea.

Amesema kama atashindwa kuuzuia huu mgao hawezi kumteua kwenye baraza lake!. Amesema anajua wachache watamchukia lakini wengi watampenda!.

Ameahidi kuwa na baraza dogo lakini effective lenye watu makini!.

JPM ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni Arusha!.

Ajira za umma kupatikana bila mdudu anayeitwa experience!.

Pasco
 
CCM ni ile ile na uongo ni ule ule, kilichobakia tuisome namba kama wimbo wao.
 
Dr.Magufuli wa kabla ya kikao cha CC na kabla ya CC ni tofauti kabisa
 
kashikwa Sharubu Na akicharuka tu wanahamia ktk Vzi.Lazima atulie Tu.Haina Jinsi.Chezea Massons wewe
 
Ccm ni mfumo, mambo yao kusema uongo tu!! Huwezi mtofautisha Jpm na mfumo wa Ccm, hahahaaaa yaani juzi rais anasema anataka Watanzania wamiliki uchumi halafu anamteua waziri anaesema Watanzania wana pesa za kuuza juice!!!!
 
Nikishindwa Uraisi ntarudi kijijini Kufuga ng'ombe...haaahaaahaha jamaa msanii uyu..zungushaaaaa
 
Kumbe hii 'siredi' ni ukawa ... acha nichape mwendo
 
Ebu eleweni,alisema hvi 'nackia mawaziri wamehongwa ili wakate umeme ili kwnye kampeni zake ashindwe,akawataja simbachawene na kitwanga,akawaambia kama ni kweli watubu kabla hajaapishwa,,JPM alikua anaongelea tetesi hakutoa kauli ya moja kwa moja kama hawatukuepo kwenye barza lake,,acheni kugushi maneno
 
kwani lowassa alituambia akishindwa uchaguzi atarudi kuchunga ng'ombe wake, je amesharudi?
kuhusu simbachawene; magufuli yaelekea alikua hajui hali halisi lakini baada ya kuelezwa na akina felichisma mramba pale tanesco imebidi abadili muelekeo.
uteuzi wa prof. muhongo kwenye gesi nimemsifu sana magufuli- sasa gesi yetu ipo kwenye mikono salama!
 
Mtu wa hali ya chini ataisoma namba tu!!, ccm ni ile ile hawana jipya !!
 
kwani lowassa alituambia akishindwa uchaguzi atarudi kuchunga ng'ombe wake, je amesharudi?
kuhusu simbachawene; magufuli yaelekea alikua hajui hali halisi lakini baada ya kuelezwa na akina felichisma mramba pale tanesco imebidi abadili muelekeo.
uteuzi wa prof. muhongo kwenye gesi nimemsifu sana magufuli- sasa gesi yetu ipo kwenye mikono salama!



Alisema uchafuzi ukiwa huru na haki.
Maana ya kurudi kijijini ni kukaa kimya kama alivyofanya. Hajafanya fujo wala kuhamasisha fujo kama Slaa na Lema walivyokua wanafanya.
Ameonyesha ustarabu.

Sisi wapenzi wake tulimwelewa na hatukutegemea kuwa ataenda porini kuchunga mbuzi.

Na hata ivyo dunia na watanzania wanajua kuwa Lowasa alishinda tena kwa kishindo.

Subirini Bunge lianze ndio mtajua nani wa kuisoma namba na nani wa kupanda na nani wa kushuka.

Mana hawa mawaziri wote waliorudi walikua wanautaka urais kwa malengo yao na Wamerudishwa baada ya kikao cha chama.
Tutaanza na kuwafuluza wote wenye tuhuma hata kama wamewekwa kwa lengo la kuikomoa kambi ya Lowasa.
 
Kumbe bado mpo!!!endeleeni na porojo wenzenu tunapiga kazi.Hapa kazi tu
 
CCM ni ile ile, mbele kwa mbele.
Magufuli hana ujanja katika hilo, wenye CCM ndio wanaoamua.
 
Back
Top Bottom