Ahadi ya JPM kwa Simbachawene

Ahadi ya JPM kwa Simbachawene

Anatekeleza Ilani ya Ukawa bwana Tumuache Mbona Tunabadilikabadika ndugu zangu wa Cuf
 
kwani lowassa alituambia akishindwa uchaguzi atarudi kuchunga ng'ombe wake, je amesharudi?
kuhusu simbachawene; magufuli yaelekea alikua hajui hali halisi lakini baada ya kuelezwa na akina felichisma mramba pale tanesco imebidi abadili muelekeo.
uteuzi wa prof. muhongo kwenye gesi nimemsifu sana magufuli- sasa gesi yetu ipo kwenye mikono salama!

Endelea kuota ndoto za adhuhuri wenzio washapiga we unasubiria usalama ebo!!!
 
Tununue simu tu na tuachane na kuchinja bdege na wawanyama sikukuu hii
 
mkuu usitake kunipa hasira bure humu. tafadhali hebu nijuze kama kuna kitu sielewi. isije ikawa majungu lakini kama yale ya akina mengi.

Endelea kuota ndoto za adhuhuri wenzio washapiga we unasubiria usalama ebo!!!
 
mkuu hata mimi nishabiki wa Lowassa pengine hata kukuzidi wewe ambaye unamshabikia kwa kupewa chochote. tatizo langu na lowassa ni moja tu. anatuhuma nyingi sana ndo maana sikuona kama anatufaa kwenye nafasi ya urais. na hasa kwa kipindi hiki tunachotaka mtu wa kupambana na rushwa kwa dhati kabisa.

Alisema uchafuzi ukiwa huru na haki.
Maana ya kurudi kijijini ni kukaa kimya kama alivyofanya. Hajafanya fujo wala kuhamasisha fujo kama Slaa na Lema walivyokua wanafanya.
Ameonyesha ustarabu.

Sisi wapenzi wake tulimwelewa na hatukutegemea kuwa ataenda porini kuchunga mbuzi.

Na hata ivyo dunia na watanzania wanajua kuwa Lowasa alishinda tena kwa kishindo.

Subirini Bunge lianze ndio mtajua nani wa kuisoma namba na nani wa kupanda na nani wa kushuka.

Mana hawa mawaziri wote waliorudi walikua wanautaka urais kwa malengo yao na Wamerudishwa baada ya kikao cha chama.
Tutaanza na kuwafuluza wote wenye tuhuma hata kama wamewekwa kwa lengo la kuikomoa kambi ya Lowasa.
 
Back
Top Bottom