Ahadi ni deni na mkimuahidi mwanamke ni zaidi ya deni- jamaa yetu huyu sijui afeli kiswahili

umejuaje hivyo ni vipindi kama husikilizi?? mimi nilijua ni aina ya sahuni au Vitamin
Huyo Ni mtangazaji bwana...aniatwa Hamisi..aka B12 .. B dozen...B twangala twizi..

Zamani nlikua namsikiliza huko double XL ...CloudsFm...siku Hizi kahamia EFM anakipi ndi kinaitwa Empire na Jonijo..

Sasa ndo uone Nani anasikiliza hivyo vipindi
 

Kumbe we ni msikilizaji mzuri zaidi, mimi huyo ni mwanangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…