Ah hawa watu wapgwe tuu

Mbona hivo mkuu....kulinkoni!!!!
 

nani kapigwa tayari?
 
Last edited by a moderator:
Mtaokuwa tayari kupigana mniambie mimi nitakuwa promoter!!!
 

Iron naona ujio wako sio wa verse moja... wapigwe tu...
 
Last edited by a moderator:
Yaminigusa jamani......... Vimacho vya kike vina kaaibu flani hivi

Iron yaani mkwara wote kumbe shida yako utongoze? Ushawahi kurushiwa bomu wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza umeshakaguliwa
Huna haja ya kuogopa
najua ungepitia huko wala usingekuja na malalamiko hapa
sana sana ungeshukuru tu.
Ndo mnataka kunifanyeje? Au mnashughulikiaje watu hapa?
 
Iron yaani mkwara wote kumbe shida yako utongoze? Ushawahi kurushiwa bomu wewe?

Hata Chagonja mwenyewe hawezi kuwaza! Unirushie bomu waanzia wapi. . . .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…